Ogopa Teknolojia: Nimeweka mkataba wa bandari kwenye Chat-GPT, Imejibu kwamba bandari zitakuwa za DP World Milele!

Indigenous blacks wa Egypt,Tunisia, Morocco et al walienda wapi? Waarabu ni watu katili sana.
Alafu UAE wanatuhumiwa kufadhili makundi ya kigaidi kama Rapid Support Forces ya Sudan ambalo linapambana na serikali ya Sudan sasa.
Akili bandia!!!!
 
Kwani wabongo wanapiga pesa ngapi kuliko hizo atakazo jilipa Mwarabu
Bora wabongo wapige ela yao izunguke nchini
Wewe nae umelala, pesa hizo hizo wanazozichapa wabongo wanakwenda kuziwekeza Dubai. Jisomee:

kwahyo boro bandari, mbuga, mashamba na fukwe zote tuwagawie "miungu watu yenu Waarabu" ??!

kwanini waislamu mnajipendekeza na kujikomba sana kwa waarabu na kuwaona kama miungu ili hali wao wanawadharau kama kinyesi kibichi.
 
Wakisoma kile kitabu wanaona wale ni wenzao kumbe bado wanaonekana nyani.😂😂😂
Sasa sijuwi tukimbilie wapi maana kwenye biblia yesu ndiyo katuita mbwa kabisa, jisomee:

Mathayo 15
25 Naye akaja akamsujudia, akisema Bwana, unisaidie.
26 Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.
 
Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia),

Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika wa bunge Tulia Ackson na msemaji Gerson Msigwa... Upande wa pili ndio hawa wanaofanya ishu itrend kila kona ya nchi kwamba mkataba huu unapiga nchi mnada.

Nikaona nipandishe mkataba huu kwenye mtambo wa chat gpt.

Nikaiuliza swali - makubalioano haya yanaweza kuzipora bandari za Tanzania milele.

Jibu ndilo hilo kama lilivyo kwenye picha,

Huu mkataba unamwezesha mwarabu kuichukua bandari milele, Tukitaka kuuvunja hatuwezi upande moja, DP World akiamua anaweza kuiendesha bandari milele!!

View attachment 2675558

Nikaiuliza, kuna kifungu kinavunja mkataba kukiwa na "permanent cessation" hii ina maana gani, ikanijibu kwamba ni mpaka pale DP world atakapoamua kuacha shughuli zake, Ni mpaka yeye atakapoamua.

Nikauliza kama inaweza kuwa baada ya miaka elf 1, ikajibu kwamba inaweza kuwa milele "indefinetely"

View attachment 2675556

Inasikitisha sana kuona mpaka robots wanaukataa huu mkataba ulivyo wa hovyo, lakini ajabu viongozi wetu baadhi maprofesa wanajiaibisha kwamba kila kitu kiko sawa, Aibu tupu!

Ushauri wangu: mkataba uwe na kikomo cha muda, Mfano majirani wetu Zanzibar bandari yao hivi karibuni wamesaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya "The Africa Global Logistics - AGL", Sisi huku kwetu Tanzania Bara kwanini mkataba wetu hauna kikomo cha muda ? nachopendekeza mkataba uwe na muda wa kikomo, kwa sasa hao hao DP world wanaweza kuonekana waaminifu lakini hakuna aijuae kesho, wanaweza kuja kutukomoa huko mbele na hatuna cha kuwafanya, hii sio sawa kwa watoto na wajukuu zetu kuja kuumia kwenye jambo ambalo linaweza kurekebishwa ndani ya siku 1 tu bungeni.

kampuni iliyopita ya TICTS iliyosimamia bandari kwa miaka 22 ilikuwa na uwezo mdogo na madudu mengi haifai hata kidogo, suluhisho imebidi ije kampuni yenye ufanisi zaidi lakini hakuna sababu hata moja ya kujishusha kiasi hiki, Ni sawa na kwenda kwa mganga ukiwa na hali ya kawaida kiuchumi unataka pesa zaidi unapuuzia masharti lakini ukipata pesa unaanza kuona masharti ni magumu, unatamani kurudi hali ya zamani uwe huru lakini ndio hivyo tena huwezi.

Mimi si mtaalamu sana, lakini kama mambo yako hivi, basi hatuna viongozi wa kutegemewa na wananchi , bali ni wauza wananchi na nchi yao.

Sasa wanachopambana kupinga ni kitu gani?

Hivi wale wabunge waliopelekwa uarabuni walikuwa na kazi gani kule?
 
CCM tunawambia mkataba niwakitapeli niwabishi
CCM wajiuzulu kwa kuwatapeli WaTanzania.
Kuanzia juu waondoke kwa ridhaa Yao.
Majuzi bungeni eti watu wamekula pesa wanapewa barua ya Onyo!! Upuuzi gani huu? Kwa ni watashindwa kuendeleana wizi huo.
Ni ujinga wa Hali ya juu mno.
CDM mko wapi na haya mambo!??
 
kwahyo boro bandari, mbuga, mashamba na fukwe zote tuwagawie "miungu watu yenu Waarabu" ??!

kwanini waislamu mnajipendekeza na kujikomba sana kwa waarabu na kuwaona kama miungu ili hali wao wanawadharau kama kinyesi kibichi.
Wanadharau kuliko Yesu alivyotuita mbwa?:

Mathayo 5
25 Naye akaja akamsujudia, akisema Bwana, unisaidie.
26 Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.
 
Acha
Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia),

Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika wa bunge Tulia Ackson na msemaji Gerson Msigwa... Upande wa pili ndio hawa wanaofanya ishu itrend kila kona ya nchi kwamba mkataba huu unapiga nchi mnada.

Nikaona nipandishe mkataba huu kwenye mtambo wa chat gpt.

Nikaiuliza swali - makubalioano haya yanaweza kuzipora bandari za Tanzania milele.

Jibu ndilo hilo kama lilivyo kwenye picha,

Huu mkataba unamwezesha mwarabu kuichukua bandari milele, Tukitaka kuuvunja hatuwezi upande moja, DP World akiamua anaweza kuiendesha bandari milele!!

View attachment 2675558

Nikaiuliza, kuna kifungu kinavunja mkataba kukiwa na "permanent cessation" hii ina maana gani, ikanijibu kwamba ni mpaka pale DP world atakapoamua kuacha shughuli zake, Ni mpaka yeye atakapoamua.

Nikauliza kama inaweza kuwa baada ya miaka elf 1, ikajibu kwamba inaweza kuwa milele "indefinetely"

View attachment 2675556

Inasikitisha sana kuona mpaka robots wanaukataa huu mkataba ulivyo wa hovyo, lakini ajabu viongozi wetu baadhi maprofesa wanajiaibisha kwamba kila kitu kiko sawa, Aibu tupu!

Ushauri wangu: mkataba uwe na kikomo cha muda, Mfano majirani wetu Zanzibar bandari yao hivi karibuni wamesaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya "The Africa Global Logistics - AGL", Sisi huku kwetu Tanzania Bara kwanini mkataba wetu hauna kikomo cha muda ? nachopendekeza mkataba uwe na muda wa kikomo, kwa sasa hao hao DP world wanaweza kuonekana waaminifu lakini hakuna aijuae kesho, wanaweza kuja kutukomoa huko mbele na hatuna cha kuwafanya, hii sio sawa kwa watoto na wajukuu zetu kuja kuumia kwenye jambo ambalo linaweza kurekebishwa ndani ya siku 1 tu bungeni.

kampuni iliyopita ya TICTS iliyosimamia bandari kwa miaka 22 ilikuwa na uwezo mdogo na madudu mengi haifai hata kidogo, suluhisho imebidi ije kampuni yenye ufanisi zaidi lakini hakuna sababu hata moja ya kujishusha kiasi hiki, Ni sawa na kwenda kwa mganga ukiwa na hali ya kawaida kiuchumi unataka pesa zaidi unapuuzia masharti lakini ukipata pesa unaanza kuona masharti ni magumu, unatamani kurudi hali ya zamani uwe huru lakini ndio hivyo tena huwezi.
Uongo mkuu. Waamini wabunge weyu please.
 
CCM wajiuzulu kwa kuwatapeli WaTanzania.
Kuanzia juu waondoke kwa ridhaa Yao.
Majuzi bungeni eti watu wamekula pesa wanapewa barua ya Onyo!! Upuuzi gani huu? Kwa ni watashindwa kuendeleana wizi huo.
Ni ujinga wa Hali ya juu mno.
CDM mko wapi na haya mambo!??
Chadema wanakata mauno hata baada ya dj kuzima muziki , tumefika hapa tulipo kwasababu ya unyumbu, na jamii mfu ambayo haiwezi kuhoji kwa sauti inayosikika na bunge ambalo linapitisha sera bila kuwa na ujuzi wa kutambua madhara ya hizo sera hapo baadae. Without the knowledge of the aftermath of the implemented policies the end result will be ineffective policies
 
Wewe si ndiyo ulitaka link ya kesi ya Djibouti? Au ulikuwa unabwabwaja na kuhororoja hovyo tu?

Huwa sikisii.
Una makasiriko ya haraka sana.

Haufai kuwa kiongozi labda uwe mbeba begi la kiongozi. Hekima haiuzwi dukani
 
Usiingie nao na tayari wapo bandarini wanafanya kazi?

Unafikiri mkataba wa kibiashara utaoneshwa wewe mburumatare?

Umechelea jamvini karamu imeshaliwa.

Sasa kwanini una wasomi wa sheria serikalini? Au haumfahamu profesa kabudi? Si ndiyo yupo ofisi ya Rais anashughulikia mambo hayo?
Hayabana
Uzeni kila kitu kwa jina la uwekezaji.

Kuna kabwawa kangu ka kuogelea nataka kujenga bandari ndogo ya vimashua vya watoto.

Nayo najua mtaiuza. Loh
 
Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia),

Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika wa bunge Tulia Ackson na msemaji Gerson Msigwa... Upande wa pili ndio hawa wanaofanya ishu itrend kila kona ya nchi kwamba mkataba huu unapiga nchi mnada.

Nikaona nipandishe mkataba huu kwenye mtambo wa chat gpt.

Nikaiuliza swali - makubalioano haya yanaweza kuzipora bandari za Tanzania milele.

Jibu ndilo hilo kama lilivyo kwenye picha,

Huu mkataba unamwezesha mwarabu kuichukua bandari milele, Tukitaka kuuvunja hatuwezi upande moja, DP World akiamua anaweza kuiendesha bandari milele!!

View attachment 2675558

Nikaiuliza, kuna kifungu kinavunja mkataba kukiwa na "permanent cessation" hii ina maana gani, ikanijibu kwamba ni mpaka pale DP world atakapoamua kuacha shughuli zake, Ni mpaka yeye atakapoamua.

Nikauliza kama inaweza kuwa baada ya miaka elf 1, ikajibu kwamba inaweza kuwa milele "indefinetely"

View attachment 2675556

Inasikitisha sana kuona mpaka robots wanaukataa huu mkataba ulivyo wa hovyo, lakini ajabu viongozi wetu baadhi maprofesa wanajiaibisha kwamba kila kitu kiko sawa, Aibu tupu!

Ushauri wangu: mkataba uwe na kikomo cha muda, Mfano majirani wetu Zanzibar bandari yao hivi karibuni wamesaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya "The Africa Global Logistics - AGL", Sisi huku kwetu Tanzania Bara kwanini mkataba wetu hauna kikomo cha muda ? nachopendekeza mkataba uwe na muda wa kikomo, kwa sasa hao hao DP world wanaweza kuonekana waaminifu lakini hakuna aijuae kesho, wanaweza kuja kutukomoa huko mbele na hatuna cha kuwafanya, hii sio sawa kwa watoto na wajukuu zetu kuja kuumia kwenye jambo ambalo linaweza kurekebishwa ndani ya siku 1 tu bungeni.

kampuni iliyopita ya TICTS iliyosimamia bandari kwa miaka 22 ilikuwa na uwezo mdogo na madudu mengi haifai hata kidogo, suluhisho imebidi ije kampuni yenye ufanisi zaidi lakini hakuna sababu hata moja ya kujishusha kiasi hiki, Ni sawa na kwenda kwa mganga ukiwa na hali ya kawaida kiuchumi unataka pesa zaidi unapuuzia masharti lakini ukipata pesa unaanza kuona masharti ni magumu, unatamani kurudi hali ya zamani uwe huru lakini ndio hivyo tena huwezi.
Kwani wale chawa wakipumbavu, wenye unafiki, njaaa na ubinafsi watakuelewa., watakuona mpotoshaji tu. Kuna watu wanzidiwa akili na mbwa, ambaye ukimwambia wee acha na kweli anaaacha hata kama alikuwa anakula.
 
Back
Top Bottom