Ogopa Teknolojia: Nimeweka mkataba wa bandari kwenye Chat-GPT, Imejibu kwamba bandari zitakuwa za DP World Milele!

Arabs walochotufanyia Africa hawaamini how come wamekaribishwa tena so kuja kwao ni kwa kimitego ukiingia umekwisha
 
Naomba kujua unatumiaje hii applications? Nisaidie kaka
 
Watanzania tuache undundu! Kwani ijienda milele huku tunapata chetu kuna shida gani? Tunahitaji ufanisi kwenye bandari yetu ili ituingizie pesa! Nyie endeleeni na vi-propaganda vyenu vya nyumbu wa Ufipa lakini sisi haturudi nyuma!!
 
Mama ana tatizo kwenye English lkn hamfikii jiwe. Jiwe yeye hakuwa na tatizo bali alikuwa hajui kabisa kiinglish
Kuna watu wapumbavu kabisa katika nchi hii! Udhaifu wanauona kwa mama tu!
 
Shida ya watu wale wengi shule hawajaenda halafu huona waraabu kama ni ndugu zao kumbe ni wafanyabiashara ya watumwa na pembe za ndovu.
wanaamini mwarabu akifaiika au hata akitapeli, wao pia wamefaidika kwasababu ni ndugu yao. is that what you mean?
 
What effect can this cause in turn when normal reasoning is restored from Nyumbu Herding behaviour .suicidal? I guess.
I have thought it wise that, the definition should be an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of group objective, (conflict of interest), or fear of their leaders, (amygdala), by Ipyana Benny Haraba.. by the way you have made me improve this this definition, it will be in my entrepreneurship book to be released soon stay tuned
 
Wanadharau kuliko Yesu alivyotuita mbwa?:

Mathayo 5
25 Naye akaja akamsujudia, akisema Bwana, unisaidie.
26 Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.
Ukikaa na waislamu hauwezi kupata jema likakujenga. Ukiingia hata kwenye blog na website zao zaidi wanazungumzia Biblia Takatifu kuliko Quran. Mafundisho yao ni ya chuki zaidi kuhusu ukristo. Hapo ameelewa kuwaitwa mbwa. soma vizuri huo mstari utaelewa.
Najua shida ni lugha ndiyo maana huwezi kukuta muislamu anatoa hata mstari mmoja au kifungu kutoka kwenye Quran. Hapo atakimbilia kwenye Biblia Takatifu
Ukitaka kujua waislamu weupe
Nenda kwa shekh mwambie mimi ni mkristo nihubirie, mafundisho yako yanishawishi nisilimu. Ndiyo utajua hawa watu adui yao mkubwa ni ukristo. Atakosoa Biblia na neno la mwisho utasikia njoo kwenye dini ya haki
Nenda kwa mchungaji au padri mwambie mimi ni muislamu nihubirie niwe mkristo, hapo hautasika dini yako wala Quran imetajwa.
Hata ukiingia facebook, twitter au jamii forum huwezi kukuta muislam ametoa aya inayofundisha uislamu zaidi ya utakuta ameweka kifungu cha Biblia.
 
Nimeusoma vizuri sana, na mimi kama Muislam nsiamini kama Yesu anaweza kusema maneno hayo kwa yeyote. Naamini huyo akiyeandika maneno hayo ni mbaguzi na alikuwa na sababu kuzuwa namna hiyo.

Mimi naamini Yesu alikuwa ni Mtume mwema wa Mwenyezi Mungu.

Wewe umesoma nilichokijibu kwa kutumia mistari hiyo ya biblia?
 
Kuna watu wapumbavu kabisa katika nchi hii! Udhaifu wanauona kwa mama tu!
Kwa hiyo wakija hela ya kodi tutakuwa tunagawiwa na ufanisi utakngezeka kupitia watu walewale waliopo pale. Hujafungwa minyororo wewe ungemjua tip wa ujiji ni nani na bagamoyo na slave Island nani alianzisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…