Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko biased.Safi sana hiyo, kwani wewe utakuwepo milele?
Bandari za babu yako ziko wapi?
Ndiyo wapi huko?Uko biased.
Huko uliko.Ndiyo wapi huko?
Wewe ni dom eeh?Huko uliko.
Naomba kujua unatumiaje hii applications? Nisaidie kakaKwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia),
Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika wa bunge Tulia Ackson na msemaji Gerson Msigwa... Upande wa pili ndio hawa wanaofanya ishu itrend kila kona ya nchi kwamba mkataba huu unapiga nchi mnada.
Nikaona nipandishe mkataba huu kwenye mtambo wa chat gpt.
Nikaiuliza swali - makubalioano haya yanaweza kuzipora bandari za Tanzania milele.
Jibu ndilo hilo kama lilivyo kwenye picha,
Huu mkataba unamwezesha mwarabu kuichukua bandari milele, Tukitaka kuuvunja hatuwezi upande moja, DP World akiamua anaweza kuiendesha bandari milele!!
View attachment 2675558
Nikaiuliza, kuna kifungu kinavunja mkataba kukiwa na "permanent cessation" hii ina maana gani, ikanijibu kwamba ni mpaka pale DP world atakapoamua kuacha shughuli zake, Ni mpaka yeye atakapoamua.
Nikauliza kama inaweza kuwa baada ya miaka elf 1, ikajibu kwamba inaweza kuwa milele "indefinetely"
View attachment 2675556
Inasikitisha sana kuona mpaka robots wanaukataa huu mkataba ulivyo wa hovyo, lakini ajabu viongozi wetu baadhi maprofesa wanajiaibisha kwamba kila kitu kiko sawa, Aibu tupu!
Ushauri wangu: mkataba uwe na kikomo cha muda, Mfano majirani wetu Zanzibar bandari yao hivi karibuni wamesaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya "The Africa Global Logistics - AGL", Sisi huku kwetu Tanzania Bara kwanini mkataba wetu hauna kikomo cha muda ? nachopendekeza mkataba uwe na muda wa kikomo, kwa sasa hao hao DP world wanaweza kuonekana waaminifu lakini hakuna aijuae kesho, wanaweza kuja kutukomoa huko mbele na hatuna cha kuwafanya, hii sio sawa kwa watoto na wajukuu zetu kuja kuumia kwenye jambo ambalo linaweza kurekebishwa ndani ya siku 1 tu bungeni.
kampuni iliyopita ya TICTS iliyosimamia bandari kwa miaka 22 ilikuwa na uwezo mdogo na madudu mengi haifai hata kidogo, suluhisho imebidi ije kampuni yenye ufanisi zaidi lakini hakuna sababu hata moja ya kujishusha kiasi hiki, Ni sawa na kwenda kwa mganga ukiwa na hali ya kawaida kiuchumi unataka pesa zaidi unapuuzia masharti lakini ukipata pesa unaanza kuona masharti ni magumu, unatamani kurudi hali ya zamani uwe huru lakini ndio hivyo tena huwezi.
Kuna watu wapumbavu kabisa katika nchi hii! Udhaifu wanauona kwa mama tu!Mama ana tatizo kwenye English lkn hamfikii jiwe. Jiwe yeye hakuwa na tatizo bali alikuwa hajui kabisa kiinglish
Hivi wewe unatumiaga mavi badala ya akili?Safi sana hiyo, kwani wewe utakuwepo milele?
Bandari za babu yako ziko wapi?
wanaamini mwarabu akifaiika au hata akitapeli, wao pia wamefaidika kwasababu ni ndugu yao. is that what you mean?Shida ya watu wale wengi shule hawajaenda halafu huona waraabu kama ni ndugu zao kumbe ni wafanyabiashara ya watumwa na pembe za ndovu.
Kuna wengine walisomea vyeti tu na shibe zao sio weledi.Sijui kwa nini madamu spika na usomi wake kwa sasa namuona kama kiazi. Yaani potato na I can't help it .nikimuona akili inachora potato
Sawa Mwarabu mweusi.Akili bandia!!!!
I have thought it wise that, the definition should be an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of group objective, (conflict of interest), or fear of their leaders, (amygdala), by Ipyana Benny Haraba.. by the way you have made me improve this this definition, it will be in my entrepreneurship book to be released soon stay tunedWhat effect can this cause in turn when normal reasoning is restored from Nyumbu Herding behaviour .suicidal? I guess.
Ukikaa na waislamu hauwezi kupata jema likakujenga. Ukiingia hata kwenye blog na website zao zaidi wanazungumzia Biblia Takatifu kuliko Quran. Mafundisho yao ni ya chuki zaidi kuhusu ukristo. Hapo ameelewa kuwaitwa mbwa. soma vizuri huo mstari utaelewa.Wanadharau kuliko Yesu alivyotuita mbwa?:
Mathayo 5
25 Naye akaja akamsujudia, akisema Bwana, unisaidie.
26 Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.
Nimeusoma vizuri sana, na mimi kama Muislam nsiamini kama Yesu anaweza kusema maneno hayo kwa yeyote. Naamini huyo akiyeandika maneno hayo ni mbaguzi na alikuwa na sababu kuzuwa namna hiyo.Ukikaa na waislamu hauwezi kupata jema likakujenga. Ukiingia hata kwenye blog na website zao zaidi wanazungumzia Biblia Takatifu kuliko Quran. Mafundisho yao ni ya chuki zaidi kuhusu ukristo. Hapo ameelewa kuwaitwa mbwa. soma vizuri huo mstari utaelewa.
Najua shida ni lugha ndiyo maana huwezi kukuta muislamu anatoa hata mstari mmoja au kifungu kutoka kwenye Quran. Hapo atakimbilia kwenye Biblia Takatifu
Ukitaka kujua waislamu weupe
Nenda kwa shekh mwambie mimi ni mkristo nihubirie, mafundisho yako yanishawishi nisilimu. Ndiyo utajua hawa watu adui yao mkubwa ni ukristo. Atakosoa Biblia na neno la mwisho utasikia njoo kwenye dini ya haki
Nenda kwa mchungaji au padri mwambie mimi ni muislamu nihubirie niwe mkristo, hapo hautasika dini yako wala Quran imetajwa.
Hata ukiingia facebook, twitter au jamii forum huwezi kukuta muislam ametoa aya inayofundisha uislamu zaidi ya utakuta ameweka kifungu cha Biblia.
Kwa hiyo wakija hela ya kodi tutakuwa tunagawiwa na ufanisi utakngezeka kupitia watu walewale waliopo pale. Hujafungwa minyororo wewe ungemjua tip wa ujiji ni nani na bagamoyo na slave Island nani alianzishaKuna watu wapumbavu kabisa katika nchi hii! Udhaifu wanauona kwa mama tu!
huna akili.Safi sana hiyo, kwani wewe utakuwepo milele?
Bandari za babu yako ziko wapi?