Ogopa Teknolojia: Nimeweka mkataba wa bandari kwenye Chat-GPT, Imejibu kwamba bandari zitakuwa za DP World Milele!

Herding behavior is an occurrence of thoughtful people suspending their individual reasoning because of fear, (amygdala), in this case fearing leaders or in favor of group objective, (CCM)
What effect can this cause in turn when normal reasoning is restored from Nyumbu Herding behaviour .suicidal? I guess.
 
Shida ya watu wale wengi shule hawajaenda halafu uona waraabu kama ni ndugu zao kumbe ni wafanyabiashara ya watumwa na pembe za ndovu.
Hivi bro umeshafanya study walivyokuwa affected na hawa watu? Hata walio na exposure.they are highly affected psychologically juu ya hiyo race .sina cha kusema I think we really need study on this .sijui ni utumwa umewaharibu?
 
Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia),

Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika wa bunge Tulia Ackson na msemaji Gerson Msigwa... Upande wa pili ndio hawa wanaofanya ishu itrend kila kona ya nchi kwamba mkataba huu unapiga nchi mnada.

Nikaona nipandishe mkataba huu kwenye mtambo wa chat gpt.

Nikaiuliza swali - makubalioano haya yanaweza kuzipora bandari za Tanzania milele.

Jibu ndilo hilo kama lilivyo kwenye picha,

Huu mkataba unamwezesha mwarabu kuichukua bandari milele, Tukitaka kuuvunja hatuwezi upande moja, DP World akiamua anaweza kuiendesha bandari milele!!

View attachment 2675558

Nikaiuliza, kuna kifungu kinavunja mkataba kukiwa na "permanent cessation" hii ina maana gani, ikanijibu kwamba ni mpaka pale DP world atakapoamua kuacha shughuli zake, Ni mpaka yeye atakapoamua.

Nik 'R-K-O', kwa bahati mbaya sana umesahau kuuliza swali muhimu sana kwenye hiyo AI yako.

Ungeuliza hivi:

Je nchi hii ya Tanzania itakuwa haina wazalendo milele?

Hilo jibu lingetusaidia sana kum haya majibu uliyoyapata hapa.
auliza kama inaweza kuwa baada ya miaka elf 1, ikajibu kwamba inaweza kuwa milele "indefinetely"

View attachment 2675556
Mkuu, kwa bahati mbaya ulisahau kuuliza swali moja mhimu sana.

Ungeuliza hivi: Je, hiyo nchi inayoitwa Tanzania itakosa wazalendo milele wa kurekebisha haya mambo?

Jibu la hapo ungeleta tulinganishe nahaya uliyoweka hapa.

Na baada ya hapo, unguliza hiyo hiyo AI kama Tanzania haitakuwa na uwezo wa kuitumia kuendesha bandari zetu kwa ufanisi zaidi kuliko wanavyofanya DPW.

Najua pamoja na ukwasi walionao, lakini hawana hati miliki ya tknolojia hiyo.
 
Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia),

Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika wa bunge Tulia Ackson na msemaji Gerson Msigwa... Upande wa pili ndio hawa wanaofanya ishu itrend kila kona ya nchi kwamba mkataba huu unapiga nchi mnada.

Nikaona nipandishe mkataba huu kwenye mtambo wa chat gpt.

Nikaiuliza swali - makubalioano haya yanaweza kuzipora bandari za Tanzania milele.

Jibu ndilo hilo kama lilivyo kwenye picha,

Huu mkataba unamwezesha mwarabu kuichukua bandari milele, Tukitaka kuuvunja hatuwezi upande moja, DP World akiamua anaweza kuiendesha bandari milele!!

View attachment 2675558

Nikaiuliza, kuna kifungu kinavunja mkataba kukiwa na "permanent cessation" hii ina maana gani, ikanijibu kwamba ni mpaka pale DP world atakapoamua kuacha shughuli zake, Ni mpaka yeye atakapoamua.

Nikauliza kama inaweza kuwa baada ya miaka elf 1, ikajibu kwamba inaweza kuwa milele "indefinetely"

View attachment 2675556

MY TAKE : MKATABA UREKEBISHWE UWE WA MIAKA MITANO !!
FaizaFoxy njoo huku
 
Tena maarabi mapagani ksbisa, mazinzi na wsnyea waafrika mdomoni
Faiza Foxy alivyoandika thread yake kuhusu Ikulu wapewe waislamu ni mali yao basi mama yule kwa kuona huku pagumu ikabidi awape bandari.
Baada ya kubinafsishwa bandari tutegemee
1. Kupandishwa kwa kodi kwasababu serikali haina sehemu ya kujipatia fedha na itategemea kodi tu
2. Kuibuka kwa kodi zisizoeleweka, hapa utashangaa hata laini ya simu tutaanza kuilipia
3. Bidhaa kupanda bei kwasababu ya kodi kupanda
 
Waarabu ni ukoma.

Siongelei uislam bali Waarabu, ni janga kubwa sana
 
Unashauri tufanyeje? Toa ushauri na simamia ushauri wako kwa vitendo wapo watanzania wengi nyuma yako kuungana na wewe!
 
Mama ana tatizo kwenye English lkn hamfikii jiwe. Jiwe yeye hakuwa na tatizo bali alikuwa hajui kabisa kiinglish
Ila alikataa mkataba wa ovyo wa Bandari Bagamoyo.
Wewe unakijua,una shahada ngapi za hiyo lugha?
 
Wacha uongo wewe kifungu cha 5:4 mbona hakipo hapo?
Waislamu wakimuona Mwarabu hasa Wazanzibar wanaloa kama wamemuona Mungu.Mwarabu hana mapenzi na Mwafrika ata kidogo,hivi wale Watumwa Blacks waliopelekwa huko Uarabuni kizazi chao kilipotelewa wapi?
Blacks ndiyo wenye nchi ya Egypt,walipotelea wapi?
Blacks tunawaona Europe na USA , why not in Middle East!
 
Si ujitokeze basi uyaseme hayo? Maneno mema namna hiyo unayasema huku umejificha nyuma ya pazia?

Hii ni kurusedi, huna haja ya kujificha.
 
Hivi bro umeshafanya study walivyokuwa affected na hawa watu? Hata walio na exposure.they are highly affected psychologically juu ya hiyo race .sina cha kusema I think we really need study on this .sijui ni utumwa umewaharibu?
Indigenous blacks wa Egypt,Tunisia, Morocco et al walienda wapi? Waarabu ni watu katili sana.
Alafu UAE wanatuhumiwa kufadhili makundi ya kigaidi kama Rapid Support Forces ya Sudan ambalo linapambana na serikali ya Sudan sasa.
 
Back
Top Bottom