Hii ndio akili ya nyie wa kule! Mkipaka mapoda tu mnajiona ni Wakoloni wa KiarabuSafi sana hiyo, kwani wewe utakuwepo milele?
Bandari za babu yako ziko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio akili ya nyie wa kule! Mkipaka mapoda tu mnajiona ni Wakoloni wa KiarabuSafi sana hiyo, kwani wewe utakuwepo milele?
Bandari za babu yako ziko wapi?
lakini hakuuza nchi.Mama ana tatizo kwenye English lkn hamfikii jiwe. Jiwe yeye hakuwa na tatizo bali alikuwa hajui kabisa kiinglish
Waarabu wema sana.Hii ndio akili ya nyie wa kule! Mkipaka mapoda tu mnajiona ni Wakoloni wa Kiarabu
Hadi akili bandia zimeona kuna tatizo ninyi wenye akili natural mnaona kila kitu kiko sawa! Maajabu!Tobaaaaah wee,
Tumekwishaaaaa!!! [emoji24][emoji24][emoji24]
Hapana; kama yai mbona analitema vizuri sana?aise.huyu.mama
tatizo English au
Kama hawa Waarabu Waislam wana tatizo vipi Mwenyekiti wa chadema akawekeze Dubai?Hadi akili bandia zimeona kuna tatizo ninyi wenye akili natural mnaona kila kitu kiko sawa! Maajabu!
Usiniletee habari za ukanda na udini hapa!Sasankama hawa Waarabu Waislam wana tatizo vipi Mwenye kiti wa chadema akawekeze Dubai?
Mbona mnatuchanganya?
Hii ndio Uvccm mentality 🤣🤣🤣Badala ushike bango uandamane unapigia kelele kisichokuhusu wala hakitaleta chakula mezani kwako
CCM ndio tatizo pamoja na machawa wake including wewe! Mwarabu hana tatizo, hata kama ni mimi naona kbs napewa uwekezaji sawa na bure tena bila kikomo kwann nisiwekeze!!Sasankama hawa Waarabu Waislam wana tatizo vipi Mwenye kiti wa chadema akawekeze Dubai?
Mbona mnatuchanganya?
Mentality ya hovyo kbs hii!! Kwahiyo alieanzisha ndo kusema?Muulizeni Huyo AI ChatGPT, nani aliianzisha bandari ya Dar es Salaam.
Nani alikudanganya kuwa AI Chat GPT hajuwi Kiswahili?aise.huyu.mama
tatizo English au
Kaa hapo na fikra zako uone kama bandari itakusaidia kulipa billHii ndio Uvccm mentality [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
DP WORLD imekataa kupoa kama ugali!!Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia),
Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika wa bunge Tulia Ackson na msemaji Gerson Msigwa... Upande wa pili ndio hawa wanaofanya ishu itrend kila kona ya nchi kwamba mkataba huu unapiga nchi mnada.
Nikaona nipandishe mkataba huu kwenye mtambo wa chat gpt.
Nikaiuliza swali - makubalioano haya yanaweza kuzipora bandari za Tanzania milele.
Jibu ndilo hilo kama lilivyo kwenye picha,
Huu mkataba unamwezesha mwarabu kuichukua bandari milele, Tukitaka kuuvunja hatuwezi upande moja, DP World akiamua anaweza kuiendesha bandari milele!!
View attachment 2675558
Nikaiuliza, kuna kifungu kinavunja mkataba kukiwa na "permanent cessation" hii ina maana gani, ikanijibu kwamba ni mpaka pale DP world atakapoamua kuacha shughuli zake, Ni mpaka yeye atakapoamua.
Nikauliza kama inaweza kuwa baada ya miaka elf 1, ikajibu kwamba inaweza kuwa milele "indefinetely"
View attachment 2675556
Ushauri wangu: mkataba uwe na kikomo cha muda, Mfano majirani wetu Zanzibar bandari yao hivi karibuni wamesaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya "The Africa Global Logistics - AGL", Sisi huku kwetu Tanzania Bara kwanini mkataba wetu usiwe na muda ? nachopendekeza mkataba uwe na muda wa kikomo.
kampuni iliyopita ya TICTS iliyosimamia bandari kwa miaka 22 ilikuwa na uwezo mdogo, suluhisho imebidi ije kampuni yenye ufanisi zaidi lakini hakuna sababu hata moja ya kujishusha kiasi hiki, Ni sawa na kwenda kwa mganga ukiwa na hali ya kawaida kiuchumi unataka pesa zaidi unapuuzia masharti lakini ukipata pesa unaanza kuona masharti ni magumu sana heri ulivyokuwa na hali ya kawaida kuzidi pesa ulizopata.
Mfu hahesabiki !Mama ana tatizo kwenye English lkn hamfikii jiwe. Jiwe yeye hakuwa na tatizo bali alikuwa hajui kabisa kiinglish
Hutaki kuijuwa historià?Mentality ya hovyo kbs hii!! Kwahiyo alieanzisha ndo kusema?
DuhSijuwi kuutumia.
Mbona hujaweka kifungu 5"4 cha mkataba wa Ushirikiano na Maendeleo?
Jana nimeona picha ya makontena yameandikwaa DP World bandari ya Dar. Eti wameshahmia waliponunuwa? Maana makontena yanaonesha ya fanicha.
Hawa Waarabu hata fanisha wanatowa kwao? Kweli wanafanya maboresho makubwa sana, yaliyowashinda kina Karamagi kwa miaka 22.
anaongelea hadi bandari za maziwa au ?Haji Manara anasema mnatoma machokoroni huko mnakuja kuiongolea bahati ambayo hamjuwi hata nani aliianzisha.
Muulizeni Huyo AI ChatGPT, nani aliianzisha bandari ya Dar es Salaam.
Duh,basi hatari sanaHivi TPA TEHAMA ya DP World inaendaje huko?
Nasikia hiyo mama Samia hata akiwa Dubai anaiona bandari kutokea kwenye simu tu, na data zote za Makontena.
Tena watu wa TEHAMA hapa wananambi itakuwa na uwezo wa kuona mpaka mfanyakazi mmoja mmoja yupo wapi na anafanya nini.
Dah, sasa Waarabu hawa huo si utumwa wanaudisha Tanganyika? Mambo ya kuchunguliana haya mpaka chooni?