Tatizo ni yeyeaise.huyu.mama
tatizo English au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni yeyeaise.huyu.mama
tatizo English au
Shindwa Pepopunda!!Kaa hapo na fikra zako uone kama bandari itakusaidia kulipa bill
Hutaki kuijuwa historià?
Usiogope, babu zàko walipitishiwa bandari za Kilwa na Bagamoyo walipochukuliwa utumwani. Bandari ya Dar es Salaam likuwa ya Wasomi tu, waliokuwa wanakuja chuo kikuu cha kwanza kabisa kikubwa Afrika mashariki pale ambapo sasa panaiwa Ikulu.
Unajuwa kuwa IkuIu ilikuwa ni chuo cha hii miisiramu?
Islamic stateSafi sana hiyo, kwani wewe utakuwepo milele?
Bandari za babu yako ziko wapi?
Au vp 🤣🤣🤣 kama vile katiba mpya haiwez mletea ugali bibi kule kijijin!! Ila uvccm cjui nan kawaloga!!Kaa hapo na fikra zako uone kama bandari itakusaidia kulipa bill
Mambo tayari, sasanhivi hata uki Google "DP WorldTanzania" , majibu yanakuja twitter za DP World Dar es Salaam. Jioneeni:Duh,basi hatari sana
Ova
Usikaze fuvuAu vp [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama vile katiba mpya haiwez mletea ugali bibi kule kijijin!! Ila uvccm cjui nan kawaloga!!
Zote, za maziwa za mgongoni.
Aise jamaa wako seriousMambo tayari, sasanhivi hata uki Google "DP WorldTanzania" , majibu yanakuja twitter za DP World Dar es Salaam. Jioneeni:
View attachment 2675887
Ajuwae hakawii.
Mihemko tu. Anaweza kuja raisi mwingine na vipaumbele vingine kabisa kuhusu bandari.Milele ndio Nini wakat hata wao wanajua tawala za kiafrika zinabadilika
Majibu ni kwa vitendo tu, maongezi bungeni na humu mitandaoni.Hoja za msingi zinatakiwa zijibiwe
Namaanisha hoja juu ya vipengele vyenye mashaka zijibiwe, au mwenzetu umejaza kinyesi kichwani? Akili umetupa chini sababu ya dini?Majibu ni kwa vitendo tu, maongezi bungeni na humu mitandaoni.
Kazi iendekee.
Duai, kwa waliofika watakueleza, hata ukienda shopping, ukiuliza bei wakishakupa bei wansikiliza wateja wengine, hawana muda w kupoteza.Aise jamaa wako serious
Ova
FaizaFoxyShida ya watu wale wengi shule hawajaenda halafu huona waraabu kama ni ndugu zao kumbe ni wafanyabiashara ya watumwa na pembe za ndovu.
kuna kitu kimekusibu huu uandishi sio wakoNa wewe nae, kumbe unasikia tu? Una msikio makubwa mabasi. Funguwa na ubongo wako na machoyako.
Mkataba wa kuuzwa nchi upo tayari. Hivi hebu jitazame vizuri hapo ulipo, hujahamishiw aDubai wewe?
Inafikirisha sanaau mwenzetu umejaza kinyesi kichwani? Akili umetupa chini sababu ya dini?
Nyie ongeeni uharo, kinyesi, makamasi, mlikatazwa?Namaanisha hoja juu ya vipengele vyenye mashaka zijibiwe, au mwenzetu umejaza kinyesi kichwani? Akili umetupa chini sababu ya dini?