FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Sana tena, mtu nishalenga dili zangu la kuwapangisha nyumba DP World kwa Dirham.kuna kitu kimekusibu huu uandishi sio wako
Nishaanza na kuwanona wajukuu Kiarabu hao, Mungu akiwajaalia wanaweza kupata wachumba wa Dubai huko, halafu wajinga wajinga wanataka kuleta kauzibe.