Ogopa Teknolojia: Nimeweka mkataba wa bandari kwenye Chat-GPT, Imejibu kwamba bandari zitakuwa za DP World Milele!

Ogopa Teknolojia: Nimeweka mkataba wa bandari kwenye Chat-GPT, Imejibu kwamba bandari zitakuwa za DP World Milele!

Tobaaaaah wee,
Tumekwishaaaaa!!! [emoji24][emoji24][emoji24]
Hadi akili bandia zimeona kuna tatizo ninyi wenye akili natural mnaona kila kitu kiko sawa! Maajabu!
 
Haji Manara anasema mnatoma machokoroni huko mnakuja kuiongolea bahati ambayo hamjuwi hata nani aliianzisha.


Muulizeni Huyo AI ChatGPT, nani aliianzisha bandari ya Dar es Salaam.
 
Sasankama hawa Waarabu Waislam wana tatizo vipi Mwenye kiti wa chadema akawekeze Dubai?

Mbona mnatuchanganya?
CCM ndio tatizo pamoja na machawa wake including wewe! Mwarabu hana tatizo, hata kama ni mimi naona kbs napewa uwekezaji sawa na bure tena bila kikomo kwann nisiwekeze!!
 
Milele ndio Nini wakat hata wao wanajua tawala za kiafrika zinabadilika
 
Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia),

Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika wa bunge Tulia Ackson na msemaji Gerson Msigwa... Upande wa pili ndio hawa wanaofanya ishu itrend kila kona ya nchi kwamba mkataba huu unapiga nchi mnada.

Nikaona nipandishe mkataba huu kwenye mtambo wa chat gpt.

Nikaiuliza swali - makubalioano haya yanaweza kuzipora bandari za Tanzania milele.

Jibu ndilo hilo kama lilivyo kwenye picha,

Huu mkataba unamwezesha mwarabu kuichukua bandari milele, Tukitaka kuuvunja hatuwezi upande moja, DP World akiamua anaweza kuiendesha bandari milele!!

View attachment 2675558

Nikaiuliza, kuna kifungu kinavunja mkataba kukiwa na "permanent cessation" hii ina maana gani, ikanijibu kwamba ni mpaka pale DP world atakapoamua kuacha shughuli zake, Ni mpaka yeye atakapoamua.

Nikauliza kama inaweza kuwa baada ya miaka elf 1, ikajibu kwamba inaweza kuwa milele "indefinetely"


View attachment 2675556


Ushauri wangu: mkataba uwe na kikomo cha muda, Mfano majirani wetu Zanzibar bandari yao hivi karibuni wamesaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya "The Africa Global Logistics - AGL", Sisi huku kwetu Tanzania Bara kwanini mkataba wetu usiwe na muda ? nachopendekeza mkataba uwe na muda wa kikomo.

kampuni iliyopita ya TICTS iliyosimamia bandari kwa miaka 22 ilikuwa na uwezo mdogo, suluhisho imebidi ije kampuni yenye ufanisi zaidi lakini hakuna sababu hata moja ya kujishusha kiasi hiki, Ni sawa na kwenda kwa mganga ukiwa na hali ya kawaida kiuchumi unataka pesa zaidi unapuuzia masharti lakini ukipata pesa unaanza kuona masharti ni magumu sana heri ulivyokuwa na hali ya kawaida kuzidi pesa ulizopata.
DP WORLD imekataa kupoa kama ugali!!
 
Mentality ya hovyo kbs hii!! Kwahiyo alieanzisha ndo kusema?
Hutaki kuijuwa historià?

Usiogope, babu zàko walipitishiwa bandari za Kilwa na Bagamoyo walipochukuliwa utumwani. Bandari ya Dar es Salaam likuwa ya Wasomi tu, waliokuwa wanakuja chuo kikuu cha kwanza kabisa kikubwa Afrika mashariki pale ambapo sasa panaiwa Ikulu.

Unajuwa kuwa IkuIu ilikuwa ni chuo cha hii miisiramu?
 
Sijuwi kuutumia.


Mbona hujaweka kifungu 5"4 cha mkataba wa Ushirikiano na Maendeleo?

Jana nimeona picha ya makontena yameandikwaa DP World bandari ya Dar. Eti wameshahmia waliponunuwa? Maana makontena yanaonesha ya fanicha.

Hawa Waarabu hata fanisha wanatowa kwao? Kweli wanafanya maboresho makubwa sana, yaliyowashinda kina Karamagi kwa miaka 22.
Duh

Ova
 
Hivi TPA TEHAMA ya DP World inaendaje huko?


Nasikia hiyo mama Samia hata akiwa Dubai anaiona bandari kutokea kwenye simu tu, na data zote za Makontena.

Tena watu wa TEHAMA hapa wananambi itakuwa na uwezo wa kuona mpaka mfanyakazi mmoja mmoja yupo wapi na anafanya nini.

Dah, sasa Waarabu hawa huo si utumwa wanaudisha Tanganyika? Mambo ya kuchunguliana haya mpaka chooni?
Duh,basi hatari sana

Ova
 
Back
Top Bottom