Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
futa huo uoga wa kimasikini bandari inakwenda kuwa yakisasa.nyie ndio wale wanawake hamfui pazia la mlangoni mwaka mzima hamtaki kabisa maendeleoKi hivyo hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
futa huo uoga wa kimasikini bandari inakwenda kuwa yakisasa.nyie ndio wale wanawake hamfui pazia la mlangoni mwaka mzima hamtaki kabisa maendeleoKi hivyo hivyo
Safi sana.Maza kaja kuuza mali za bara hana uchungu nazo
kuna jengo lao la ofisi majuzi nimeliona, aisee! nikabaki nacheka kweli mchaga kwenye pesa ni nyoka mwenye makengezaSafi sana.
Kamanwabara wenyewe wamelala afanye nini sasa?
Mwenyekiti Mbowe pesa za ruzuku anawapelekea Waarabu wa Dubai wamfichie. Mama si ndiyo anazirudisha kistaarabu hivyo, au?
Akili zenu original si ndio mnauza bandari milele na hamjui kama mnauza! Akili zenu orijino ni wendawazimu yaani mnashindwa mpaka na akili bandiaNilikuwa nakuona mtu wa maana sasa vp utaamini akili bandia wakati akili zetu original tunazo.
Mbowe amewahi kutembea na mwanao? maana wewe ni ajuza anakwamkia, Baba ake Mbowe ndiyo alikuwa anatoa nauli ya Mwl kwenda kudai Uhuru Uingereza mjinga wewe ni kusaidie, Mbowe hajazaliwa kwenye shida shida huwa anakutanazo magereza pekee mjinga wewe, fika Moshi kijiji kwake uone tu kwanza kwa wazazi wake. Wachaga siyo wavivu kama nyie wazaramo, UDSM inawafunzi zaidi ya elfu 50 wazaramo hawazidi hata 20, wajinga wakubwa nyie na wavivu, Dar imetekwa na watu wa kutoka bara na nyie mnacheza bao na kuvaa kanzu pekee. Kwa taarifa yako mtu wa kwanza kununua BMW Tanzania ni Mbowe akiwa na miaka 26 pekee wakati huo serikali inatumia 1/9. Shame on youSafi sana.
Kamanwabara wenyewe wamelala afanye nini sasa?
Mwenyekiti Mbowe pesa za ruzuku anawapelekea Waarabu wa Dubai wamfichie. Mama si ndiyo anazirudisha kistaarabu hivyo, au?
Si ungeiuliza Chat GPT maswali 11 yafuatayo:-Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia),
Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika wa bunge Tulia Ackson na msemaji Gerson Msigwa... Upande wa pili ndio hawa wanaofanya ishu itrend kila kona ya nchi kwamba mkataba huu unapiga nchi mnada.
Nikaona nipandishe mkataba huu kwenye mtambo wa chat gpt.
Nikaiuliza swali - makubalioano haya yanaweza kuzipora bandari za Tanzania milele.
Jibu ndilo hilo kama lilivyo kwenye picha,
Huu mkataba unamwezesha mwarabu kuichukua bandari milele, Tukitaka kuuvunja hatuwezi upande moja, DP World akiamua anaweza kuiendesha bandari milele!!
View attachment 2675558
Nikaiuliza, kuna kifungu kinavunja mkataba kukiwa na "permanent cessation" hii ina maana gani, ikanijibu kwamba ni mpaka pale DP world atakapoamua kuacha shughuli zake, Ni mpaka yeye atakapoamua.
Nikauliza kama inaweza kuwa baada ya miaka elf 1, ikajibu kwamba inaweza kuwa milele "indefinetely"
View attachment 2675556
Ushauri wangu: mkataba uwe na kikomo cha muda, Mfano majirani wetu Zanzibar bandari yao hivi karibuni wamesaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya "The Africa Global Logistics - AGL", Sisi huku kwetu Tanzania Bara kwanini mkataba wetu usiwe na muda ? nachopendekeza mkataba uwe na muda wa kikomo.
kampuni iliyopita ya TICTS iliyosimamia bandari kwa miaka 22 ilikuwa na uwezo mdogo, suluhisho imebidi ije kampuni yenye ufanisi zaidi lakini hakuna sababu hata moja ya kujishusha kiasi hiki, Ni sawa na kwenda kwa mganga ukiwa na hali ya kawaida kiuchumi unataka pesa zaidi unapuuzia masharti lakini ukipata pesa unaanza kuona masharti ni magumu sana heri ulivyokuwa na hali ya kawaida kuzidi pesa ulizopata.
Jiwe alikijua ila kukitamka ndo lilikuwa tatzoMama ana tatizo kwenye English lkn hamfikii jiwe. Jiwe yeye hakuwa na tatizo bali alikuwa hajui kabisa kiinglish
Waliwachinja kama kuku maskiniWaislamu wakimuona Mwarabu hasa Wazanzibar wanaloa kama wamemuona Mungu.Mwarabu hana mapenzi na Mwafrika ata kidogo,hivi wale Watumwa Blacks waliopelekwa huko Uarabuni kizazi chao kilipotelewa wapi?
Blacks ndiyo wenye nchi ya Egypt,walipotelea wapi?
Blacks tunawaona Europe na USA , why not in Middle East!
Mhi sasa wewe MTU kama msukuma, Lusinde na kitenge unafikiri wanajua Hata Hivyo CHAT GPTKwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia),
Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika wa bunge Tulia Ackson na msemaji Gerson Msigwa... Upande wa pili ndio hawa wanaofanya ishu itrend kila kona ya nchi kwamba mkataba huu unapiga nchi mnada.
Nikaona nipandishe mkataba huu kwenye mtambo wa chat gpt.
Nikaiuliza swali - makubalioano haya yanaweza kuzipora bandari za Tanzania milele.
Jibu ndilo hilo kama lilivyo kwenye picha,
Huu mkataba unamwezesha mwarabu kuichukua bandari milele, Tukitaka kuuvunja hatuwezi upande moja, DP World akiamua anaweza kuiendesha bandari milele!!
View attachment 2675558
Nikaiuliza, kuna kifungu kinavunja mkataba kukiwa na "permanent cessation" hii ina maana gani, ikanijibu kwamba ni mpaka pale DP world atakapoamua kuacha shughuli zake, Ni mpaka yeye atakapoamua.
Nikauliza kama inaweza kuwa baada ya miaka elf 1, ikajibu kwamba inaweza kuwa milele "indefinetely"
View attachment 2675556
Ushauri wangu: mkataba uwe na kikomo cha muda, Mfano majirani wetu Zanzibar bandari yao hivi karibuni wamesaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya "The Africa Global Logistics - AGL", Sisi huku kwetu Tanzania Bara kwanini mkataba wetu usiwe na muda ? nachopendekeza mkataba uwe na muda wa kikomo.
kampuni iliyopita ya TICTS iliyosimamia bandari kwa miaka 22 ilikuwa na uwezo mdogo, suluhisho imebidi ije kampuni yenye ufanisi zaidi lakini hakuna sababu hata moja ya kujishusha kiasi hiki, Ni sawa na kwenda kwa mganga ukiwa na hali ya kawaida kiuchumi unataka pesa zaidi unapuuzia masharti lakini ukipata pesa unaanza kuona masharti ni magumu sana heri ulivyokuwa na hali ya kawaida kuzidi pesa ulizopata.
Aliye shika hatamu nani?
Muislam ni ndugu ya Muislam, kama unabusha tazama pirika la ufaransa.Shida ya watu wale wengi shule hawajaenda halafu huona waraabu kama ni ndugu zao kumbe ni wafanyabiashara ya watumwa na pembe za ndovu.
Self hate, acha kujichukia kwasababu ya ngozi yako.D
Muislam ni ndugu ya Muislam, kama unabusha tazama pirika la ufaransa.
Mie nshaanza kupokea posa za wajukuu kutoka kwa Waarabu tu wa Dubai, Oman, Saudi Arabia na Qatar tu.
Hapana kuoza mjukuu mwanamme wa Kitanzania akawe dada wa nyumbani.
Mambo ni DP World tu.
Shsante mama Samia kutupa sauti wanawake.
wewe ni mtu mzima..!Safi sana hiyo, kwani wewe utakuwepo milele?
Bandari za babu yako ziko wapi?
Ngozi inahusu nini, kwani Waarabu wana ngozi ipi?Self hate, acha kujichukia kwasababu ya ngozi yako.
Unamtukuza mwarabu kama vile ni mungu, full kujipendekeza.
kwa comments nilizosoma ni kwamba huko ulipo unadharaulika sana, hukubaliki, huna sauti, n.k. labda sababu upo Zanzibar na nilisikia kwamba nyumba ikijaa watu weusi inakosa heshima,
Pole sana dada yangu, jikubali jinsi ulivyo.
Utu uzima dawa.wewe ni mtu mzima..!
INFERIORITY COMPLEXNgozi inahusu nini, kwani Waarabu wana ngozi ipi?
Mie naongelea wajukuu wakale bata Dubai, wewe unanletea mambo ya ngozi. Poyoyo kweli kweli wewe.
DP Workd hoyee.
ana inferiority complex, anatukuza sana waarabu, hii imemfanya hata yeye ajichukie kwamba sio muarabu, comments zake eti dpworld waje ili mjukuu wake aje aolewe na muarabu, yani kwake hili ndio zali, tayari unaona anajichukia asili yake (self hate)Huyu huwa analazimika akose utu kisa tu anayemtetea ako kwa upande wake, licha kwamba njia ya pepo ni mtu mmoja mmoja na siyo kundi la watu