Oh Mungu wajalie waja wako, waoe na kuolewa mwaka huu

Kila anayehangaika kupata mwenza ili aoe au aolewe, mwaka huu afanikiwe na sote humu pia tuwasaidie, watimize lengo lao.
Amen, na mimi nitawasaidia wote wanaotaka wake wa kuendana na sifa yako nitakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…