zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Sio wote lakini wengine hatupendi TV za chogo flat screen English figure mpango mzimaWatu wanapenda wowowo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wote lakini wengine hatupendi TV za chogo flat screen English figure mpango mzimaWatu wanapenda wowowo
Mtu akipita mwenye wowowo lazima utikisike😜Sio wote lakini wengine hatupendi TV za chogo flat screen English figure mpango mzima
Sawa mshengaTunda kukufurahisha kawaida haya chukuana na mylove2025 mkafanye jambo
Hio kawaida tu lakini sio kwamba ndio nimetaka kulivuruga hiloMtu akipita mwenye wowowo lazima utikisike😜
MmmmhHio kawaida tu lakini sio kwamba ndio nimetaka kulivuruga hilo
😀😀Mchuano ni mkali, kila kidume anataka demu mweupe mwenye babyface na tako.
Kila demu anataka mwanaume mrefu mweusi na mwenye hela...
Mwambie asilewe Hilo ni tatizo kubwa sanaKabisa Nina ndugu yangu mmoja anatimiza miaka 40 Hana mtoto na hajaolewa yeye mdomo na kulewa tu hovyo namuombea January hii aolewe inshallah 😎 tutafanya party kariakoo
Tufunge June nadhani ni mda mzuri hata kupata vacation mbeyaUmenena vyema hapo,atokee wa kwangu tufunge ndoa 2025
Amen, na mimi nitawasaidia wote wanaotaka wake wa kuendana na sifa yako nitakusaidiaKila anayehangaika kupata mwenza ili aoe au aolewe, mwaka huu afanikiwe na sote humu pia tuwasaidie, watimize lengo lao.