fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Kila anayehangaika kupata mwenza ili aoe au aolewe, mwaka huu afanikiwe na sote humu pia tuwasaidie, watimize lengo lao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aminaKila anayehangaika kupata mwenza ili aoe au aolewe,mwaka huu afanikiwe na sote humu pia tuwasaidie,watimize lengo lao
Mchuano ni mkali, kila kidume anataka demu mweupe mwenye babyface na tako.Kila anayehangaika kupata mwenza ili aoe au aolewe,mwaka huu afanikiwe na sote humu pia tuwasaidie,watimize lengo lao
Mungu awabadilishe huo msimamo wenu ili muwe kubali ndoaKataa ndoa nasi, unatuombea nini?
Nami ntamsaidia apate mwenzaKabisa Nina ndugu yangu mmoja anatimiza miaka 40 Hana mtoto na hajaolewa yeye mdomo na kulewa tu hovyo namuombea January hii aolewe inshallah 😎 tutafanya party kariakoo
Ndoa ni mabaya?Sasa hata shetani anawaogopaUshindwe kabisa...tumekosea nini mpaka utuombee mabaya haya?
Kama upo serious na kusaidia, ongeza mke au wake wawiliKila anayehangaika kupata mwenza ili aoe au aolewe,mwaka huu afanikiwe na sote humu pia tuwasaidie,watimize lengo lao
Dada mimi na wake official kabisa 2 na naishi nao vizuri kabisa na changamoto zote nazihimili nikisaidiana naoKama upo serious na kusaidia, ongeza mke au wake wawili
Mungu ni mwema atampa kila mtu amtakayeMchuano ni mkali, kila mtu anataka demu mweupe mwenye babyface na tako.
Kila demu anataka mwanaume mrefu mweusi na mwenye hela...
Usisahau kuwaombea wasichinjane kutokana na wivu wa kimapenziKila anayehangaika kupata mwenza ili aoe au aolewe,mwaka huu afanikiwe na sote humu pia tuwasaidie,watimize lengo lao
Ntawaombea hilo piaUsisahau kuwaombea wasichinjane kutokana na wivu wa kimapenzi
AmenKila anayehangaika kupata mwenza ili aoe au aolewe,mwaka huu afanikiwe na sote humu pia tuwasaidie,watimize lengo lao
AminaUmenena vyema hapo,atokee wa kwangu tufunge ndoa 2025