Brother MM, na kakako mwenyewe sometimes amezidi mno. Nafikiri wewe ni rafiki yake wa karibu, jaribu basi kumshauri ajaribu kudeligate baadhi ya mambo. Waziri anayeshughulikia maafa si yupo, kwanini asipokee yeye?
tatizo la rais ni KUIPOKEA YEYE MWENYEWE?
au KWAMBA WACHINA HAWAKUCHANGIA RED-CROSS?
nani mpumbavu mkuu?jaribu kuwa clear kidogoMwenye Hekima huficha Upumbavu wake....
Kwenye nyekundu hamna tatizo, Bluu ndio inanisumbua, Hii Misaada yenye conditions ndo tatizo sana kwa nchi hii, Tunawashukuru kwa msaada, Kwamba condition ya kuwa lazima ipokelewe na Rais ikulu, No thank you. Kwani Waziri anayeshughulikia maafa si yupo? anaitwa zinapigwa picha na kule kwao uchina wanafurahi!!! you see borther?sikia ndugu yangu!kuna baadhi ya vitu vinafanyika,na ni lazima vifanyike hivyo hivyo kwa sababu za kuheshimu protokali za mahusiano yetu na nchi mbali mbali HASA HASA HAWA WAHISANI.
kwa mtizamo wa kawaida wewe unaweza ukawa unaona TUKUTUKU ILE,lakini ukisoma katikati ya mistari utagundua huko uchina kuanzia rais/waziri mkuu mpaka balozi wa nyumba kumi kumi wana-watch na wanajaribu kuipima response ya kile wanachotufanyia.jeikei ana akili sana usione kapanda tukutuku ukadhani mjinga
NB:nchi inayotegemea misaada kama hii
SHARTI TUKUBALI TERMS AND CONDITIONS BILA OBJECTIONS!
hata toothtick tunaziimport kutoka chinanchi gani hii isoweza hata kutengeneza baiskeli!
hata viatu vya kwendea ****** tunapewa msaada! na mpokeaji raisi!!
Hivi hii picha wamepanda watu wangapi? au ni macho yangu yamekuwa ya kichina? maana naona kama kuna miguu ya kulia miwili mmoja kwenye paddle na mwingine chini au?? Presidaa alipakia mtu mgongoni???
hivi hizo sio yebo yebo jamani ???hahaaa aaaah rais pokea yebo yebo
baada ya kupokea misaada yenye thamani ya shilingi milioni 51 toka Uchina. (Picha na Haki Hakingowi)
Rais Jakaya Kikwete Apokea Misaada Kutoka China
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia viatu vilivyotolewa msaada na balozi wa China nchini Tanzania Bwana Liu Xinsheng katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini dar es Salaam jana asubuhi.Rais Kikwete alitangaza kuwa misaada hiyo itapelekwa kwa waathirika wa mafuriko wilayani kilosa,Mkoani Morogoro.
nani mpumbavu mkuu?jaribu kuwa clear kidogo
upumbavu ni upi hapa mkuu!jaribu kuwa precisekuna tofauti kubwa ya mpumbavu na upumbavu..... soma hiyo nahau vizuri mkuu
upumbavu ni upi hapa mkuu!jaribu kuwa precise
ha ha ha ha!kuona ni sawa Rais wetu kupokea msaada wa ma Yebo Yebo tena ndani ya ikulu....
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia viatu vilivyotolewa msaada na balozi wa China nchini Tanzania Bwana Liu Xinsheng katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini dar es Salaam jana asubuhi.Rais Kikwete alitangaza kuwa misaada hiyo itapelekwa kwa waathirika wa mafuriko wilayani kilosa,Mkoani Morogoro.
Ohh my God,
Our president is very cheap..... yebo yebo nayo inapelekwa ikulu.
Yaani aid of USD 42,000 mpaka ikulu!!!!!!
Muungwana anapenda kuuza sura sana. Hivi hajui ku-delegate?
Aaaaaarggggg!!!
ha ha ha ha!
kuna vitu vingi sana huvielewi rafiki.lakini sitapenda kukuelewesha anyway.hapo hakiangaliwi YEBO YEBO!kwa taarifa yako hapo inaangaliwa serikali ya china