Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,183
Brother MM, na kakako mwenyewe sometimes amezidi mno. Nafikiri wewe ni rafiki yake wa karibu, jaribu basi kumshauri ajaribu kudeligate baadhi ya mambo. Waziri anayeshughulikia maafa si yupo, kwanini asipokee yeye?
unamtania mtoto wa kikwere ..a delegate??? picha atapiga saa ngapi na kutoka kwenye luninga....we sisi tumekutana naye kwenye 40 ya kawawa madale mchana kwa mwakawago anapiga fatihah tu na kugonga kahawa na visheti....utamtaka mtoto wa msoga