Oh Your Excellence! (Picha)

Oh Your Excellence! (Picha)

Brother MM, na kakako mwenyewe sometimes amezidi mno. Nafikiri wewe ni rafiki yake wa karibu, jaribu basi kumshauri ajaribu kudeligate baadhi ya mambo. Waziri anayeshughulikia maafa si yupo, kwanini asipokee yeye?

unamtania mtoto wa kikwere ..a delegate??? picha atapiga saa ngapi na kutoka kwenye luninga....we sisi tumekutana naye kwenye 40 ya kawawa madale mchana kwa mwakawago anapiga fatihah tu na kugonga kahawa na visheti....utamtaka mtoto wa msoga
 
hivi hizo sio yebo yebo jamani ???hahaaa aaaah rais pokea yebo yebo
 
nchi gani hii isoweza hata kutengeneza baiskeli!
hata viatu vya kwendea ****** tunapewa msaada! na mpokeaji raisi!!
 
sikia ndugu yangu!kuna baadhi ya vitu vinafanyika,na ni lazima vifanyike hivyo hivyo kwa sababu za kuheshimu protokali za mahusiano yetu na nchi mbali mbali HASA HASA HAWA WAHISANI.

kwa mtizamo wa kawaida wewe unaweza ukawa unaona TUKUTUKU ILE,lakini ukisoma katikati ya mistari utagundua huko uchina kuanzia rais/waziri mkuu mpaka balozi wa nyumba kumi kumi wana-watch na wanajaribu kuipima response ya kile wanachotufanyia.jeikei ana akili sana usione kapanda tukutuku ukadhani mjinga

NB:nchi inayotegemea misaada kama hii
SHARTI TUKUBALI TERMS AND CONDITIONS BILA OBJECTIONS!
Kwenye nyekundu hamna tatizo, Bluu ndio inanisumbua, Hii Misaada yenye conditions ndo tatizo sana kwa nchi hii, Tunawashukuru kwa msaada, Kwamba condition ya kuwa lazima ipokelewe na Rais ikulu, No thank you. Kwani Waziri anayeshughulikia maafa si yupo? anaitwa zinapigwa picha na kule kwao uchina wanafurahi!!! you see borther?
 
nchi gani hii isoweza hata kutengeneza baiskeli!
hata viatu vya kwendea ****** tunapewa msaada! na mpokeaji raisi!!
hata toothtick tunaziimport kutoka china
 
Hivi hii picha wamepanda watu wangapi? au ni macho yangu yamekuwa ya kichina? maana naona kama kuna miguu ya kulia miwili mmoja kwenye paddle na mwingine chini au?? Presidaa alipakia mtu mgongoni???

Alikuwa anashuka ndio maana miguu yote iko kulia kwake
 
baada ya kupokea misaada yenye thamani ya shilingi milioni 51 toka Uchina. (Picha na Haki Hakingowi)

Rais Jakaya Kikwete Apokea Misaada Kutoka China

jkviatu.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia viatu vilivyotolewa msaada na balozi wa China nchini Tanzania Bwana Liu Xinsheng katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini dar es Salaam jana asubuhi.Rais Kikwete alitangaza kuwa misaada hiyo itapelekwa kwa waathirika wa mafuriko wilayani kilosa,Mkoani Morogoro.

Hata yeboyebo nazo tunaletewa kama msaada!!
 
Nadhani tokea ile debacle ya ambulances hataki kudelegate tena...si unajua misaada hiyo inaweza ishia monduli badala ya kilosa
 
kuona ni sawa Rais wetu kupokea msaada wa ma Yebo Yebo tena ndani ya ikulu....
ha ha ha ha!
kuna vitu vingi sana huvielewi rafiki.lakini sitapenda kukuelewesha anyway.hapo hakiangaliwi YEBO YEBO!kwa taarifa yako hapo inaangaliwa serikali ya china
 
jkviatu.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia viatu vilivyotolewa msaada na balozi wa China nchini Tanzania Bwana Liu Xinsheng katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini dar es Salaam jana asubuhi.Rais Kikwete alitangaza kuwa misaada hiyo itapelekwa kwa waathirika wa mafuriko wilayani kilosa,Mkoani Morogoro.

Ohh my God,

Our president is very cheap..... yebo yebo nayo inapelekwa ikulu.
Yaani aid of USD 42,000 mpaka ikulu!!!!!!

Muungwana anapenda kuuza sura sana. Hivi hajui ku-delegate?

Aaaaaarggggg!!!
 
Ohh my God,

Our president is very cheap..... yebo yebo nayo inapelekwa ikulu.
Yaani aid of USD 42,000 mpaka ikulu!!!!!!

Muungwana anapenda kuuza sura sana. Hivi hajui ku-delegate?

Aaaaaarggggg!!!

Hizo yebo lazima ziende msoga
 
ha ha ha ha!
kuna vitu vingi sana huvielewi rafiki.lakini sitapenda kukuelewesha anyway.hapo hakiangaliwi YEBO YEBO!kwa taarifa yako hapo inaangaliwa serikali ya china

pamoja na hilo mkuu pia kuna aina ya matukio hayaitaji presence ya Raisi hata kidogo otherwise tunakuwa too cheap.... mimi ningeunga mkono ningemwona mkulu anapokea msaada wa kuanzisha kiwanda cha hayo ma Yebo yebo (if not hizo tukutuku) bongo .... not kupokea maYeboYEBO bana
 
Unajua mwalimu pamoja na yote aliupa urais respect...alikuja Mohamed Ali mwaka 1978 na mwalimu akakataa kwenda kumpokea akamtuma Mwambulukutu...lakini ingekuwa braza angeenda...mama maria alikuwa hana misafara sijui kupokea report ya RC....HUYU WA SASA DUH...
 
Back
Top Bottom