Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Wakenya huko tweeter wamekuwa wakimshukia Rais wetu kama kipanga kwa hasira na ghadhabu kubwa sana kisa tu Rais kahamasisha pamoja na tahadhari kubwa kuchukuliwa za kitaalam lakini pia tusisahau kuomba pia
Namuelewa sana Magufuli anapohamasisha kuomba sababu kwa he's a devoted to his belief, mama yake alikua mgonjwa sana lakini kila alipotembelewa na mgeni hata wa kitaifa (Rais Uhuru Kenyatta akiwemo) amekua akionekana kusisitiza wamfanyie maombi mama yake akiwa kitandani, vipi kama Magu kaona nguvu ya maombi kupitia mama yake sababu huenda kapona kabisa
Nashindwa Kuelewa ni kwamba we are living in the most atheistic world au vipi lakini Marekani pamoja na maendeleo yote ya kiteknolojia na uchumi bado kwenye dollar bill kuna maneno "In God We Trust" na vile vile kwenye janga hili la Corona wanaonekana jeshi ambayo ni secular entity ikifanya ritual practices
Je ni kwamba kunya anye kuku, bata ameharisha au ni inferiority za kiafrika?
Mpaka saivi sijaelewa kwanini wakenya wapo upset sana mitandaoni na kauli ya JPM kuhusu kufanya maombi maalum juu ya janga la Corona