Okra Agustine amfuata mwenzake Mkude Yanga

Konde Boy aliuzwa kiasi gani kwenda Al Ahly, timu namba moja Afrika ndiyo umlinganishe na Okrah? Sakho alichukua kiatu cha goli bora la CAF la msimu mzima. Nani hapo Deportivo de Utopolo amefikia mafanikio hayo toka kikundi chenu kianzishwe?
dah! hapa sidhani kama dish lina kamata satellite
 
Allende wa mamelody
 
Halafu unajitajia tu wachezaji ni kama umepanick inaonyesha hii mada imekuumiza. Lomalisa, Cannavaro, Puyol, Pedro, wote hao siyo wafupi kwa standard za kimpira
 
Kwahiyo ujinga unakuwa wa simba au wachezaji?
 
Hili Jambo La Ufupi inabidi Lifanyiwe Kazi Seriously pale Yanga...!

Mambo Ya Kusema Ooo mbona Messi alikuwa Mfupi sio Sawa..! Ni nani pale Yanga Ana Kipaji Kama cha Messi..?

Ogopaaa...Jidanganyeee...!

Robo ya CL sio Lelemama...!
 
Mda si mrefu Simba na Yanga watakuwa hawachekani kwenye wachezaji wazee
 
Kwa sababu ya ufupi wanakuwa siyo tegemeo sana kucheza mipira ya juu, siongelei kupiga. Saidoo anakimbilia kupiga kona na free kicks kwa sababu anajijua hana msaada sana kuicheza kwa kichwa
Konkoni ni mrefu, lakini garasa la kutupwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…