Simba ilipigwa 4 na Kaizer, Al Ahly, AS vita n.k wote hawa walimchapa Simba tano tano, rudi katazame zile mechi, mengi ya magoli hayo yalifungwa kwa vichwa, katazame squad za Simba nyakati hizo kisha nambie hao warefu walikuwa na mchango gani kuzuia zile goli.
Yao Kwasi, Lomalisa ni mabeki wafupi, unaweza ukantajia full backs bora Tanzania kwenye ligi yetu kuwashinda hao?
Italy waliwahi kuwa na beki kisiki, team captain anaitwa Cannavaro, alikuwa ni mfupi mithili ya Shedrack Nsajigwa au ila hakuwa kusumbuliwa na washambuliaji warefu, kubwa zaidi akawa anafunga magoli ya vichwa.