Diego silva
Senior Member
- Nov 22, 2022
- 192
- 314
Timu inatakiwa kuwa na mchanganyiko wa vimo wafupi pia wana nafasi zaoMchezaji mzuri na hakustahili kuachwa na Simba ila pia wachezaji wafupi nao kuna vitu wanashindwa kukupa. Mpira wa kisasa timu zinategemea sana set pieces na wachezaji wafupi wanakuwa hawana faida sana. Matokeo yake wachezaji kama Saidoo ili aonekane ana umuhimu, analazimisha apige kila kona na faulo wakati amedhihirisha siyo mpigaji mzuri wa mipira hiyo ukiacha penati.
Mpaka nione.Huyu ameshasaini
UWONGOSpain ilibeba WC ikiwa na Jordi Alba, Puyol, Iniesta, Xavi, Cazorl, Pedro n.k hawa wote kwa vimo sio wafupi tu, bali wafupi sana.
Futbal ni akili nyingi na sio umbo. Hapo sijaitaja Barca iloburaza ulaya kwa miaka takriban 10 ikiwa na watu wafupi, haikuzidiwa kwenye kufungwa magoli ya set pieces na wala wao wenyewe hawakuwa wanafunga kwa kutumia vichwa.
Kwahiyo wewe unaona messi ni mfupi?
UwongoNa mimi nmemwambia jamaa Barca ilotamba kwa zaidi ya miaka 10 ilikuwa na wafupi wengi sana ukilinganisha na wapinzani wao.
Kikosi cha kwanza cha Barca miaka hiyo kilikuwa na wafupi hawa.
Bek namba mbili DANI ALVES
Beki namba 3 JORD ALBA
Beki namba 5 CARLES PUYOL
Kiungo mshambuliaji ANDRES INIESTA
Kiungo mchezeshaji XAVI HERNANDEZ
Winga ya kulia PEDRO RODRIGUEZ
Mshambuliaji LIONEL MESSI
Huko nje sub kuna Alexis Sanchez, naye hakuwa mrefu.
Mrefu kwenye first elevwn alikuwa Pique, Sergio Busquets na David Villa.
Ahahahaha asante sana.Robo ya cl ni jambo la kawaida mno ndio maana hata simba ambaye ni mbovu huwa anaingia kwa mtazamo wangu kuingia robo ligi ya mabingwa na kuchukua ubingwa wa NBC kigumu ni NBC
Uko sahihi,messi ni mrefu sanaKwa sababu ya ufupi wanakuwa siyo tegemeo sana kucheza mipira ya juu, siongelei kupiga. Saidoo anakimbilia kupiga kona na free kicks kwa sababu anajijua hana msaada sana kuicheza kwa kichwa
Wewe jamaa ni mbishi niliamua kuacha kuquote text zako Kwa sababu watu wote ninaokutajia hao awajafika futi 6 ni WA futi 5 mamelodi wanawachezaji zaidi ya kumi Wana futi 5 no wafupi hata huyo Lucas unayeaema wewe ana futi 6 sio kweliMnajitajia tu watu ambao hawaendani na tunachoongelea. Kumbe mnaotea hamjui mnachoongea
Sasa wewe kwa akili zako unadhani 5 ft 7 in na 5 ft 11 in ni vimo vinavyolingana?Wewe jamaa ni mbishi niliamua kuacha kuquote text zako Kwa sababu watu wote ninaokutajia hao awajafika futi 6 ni WA futi 5 mamelodi wanawachezaji zaidi ya kumi Wana futi 5 no wafupi hata huyo Lucas unayeaema wewe ana futi 6 sio kweli
Kama ni jambo jepesi NBC mbona simba anamisimu zaidi ya miwili hajachukua?Kanywe AZUMA haraka nakuja kulipa
Sasa kama jambo jepesi kufika ROBO CL mbona yanga msimu wa 50 hajafika robo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama ni jambo jepesi NBC mbona simba anamisimu zaidi ya miwili hajachukua?