Okra Agustine amfuata mwenzake Mkude Yanga

Okra Agustine amfuata mwenzake Mkude Yanga

Mchezaji mzuri na hakustahili kuachwa na Simba ila pia wachezaji wafupi nao kuna vitu wanashindwa kukupa. Mpira wa kisasa timu zinategemea sana set pieces na wachezaji wafupi wanakuwa hawana faida sana. Matokeo yake wachezaji kama Saidoo ili aonekane ana umuhimu, analazimisha apige kila kona na faulo wakati amedhihirisha siyo mpigaji mzuri wa mipira hiyo ukiacha penati.
Timu inatakiwa kuwa na mchanganyiko wa vimo wafupi pia wana nafasi zao

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Spain ilibeba WC ikiwa na Jordi Alba, Puyol, Iniesta, Xavi, Cazorl, Pedro n.k hawa wote kwa vimo sio wafupi tu, bali wafupi sana.

Futbal ni akili nyingi na sio umbo. Hapo sijaitaja Barca iloburaza ulaya kwa miaka takriban 10 ikiwa na watu wafupi, haikuzidiwa kwenye kufungwa magoli ya set pieces na wala wao wenyewe hawakuwa wanafunga kwa kutumia vichwa.
UWONGO
 
Kwahiyo wewe unaona messi ni mfupi?
20231105_232510.jpg
 
Na mimi nmemwambia jamaa Barca ilotamba kwa zaidi ya miaka 10 ilikuwa na wafupi wengi sana ukilinganisha na wapinzani wao.

Kikosi cha kwanza cha Barca miaka hiyo kilikuwa na wafupi hawa.

Bek namba mbili DANI ALVES
Beki namba 3 JORD ALBA
Beki namba 5 CARLES PUYOL
Kiungo mshambuliaji ANDRES INIESTA
Kiungo mchezeshaji XAVI HERNANDEZ
Winga ya kulia PEDRO RODRIGUEZ
Mshambuliaji LIONEL MESSI

Huko nje sub kuna Alexis Sanchez, naye hakuwa mrefu.

Mrefu kwenye first elevwn alikuwa Pique, Sergio Busquets na David Villa.
Uwongo
 
Mwanetu karudishwa tena batani, tegemeeni kumuona tena kidimbwi na mishangazi ya dar aliimisi kinoma yani [emoji16]
Sanaaaa ukizingatia wanawe wote bado wapo
 
Robo ya cl ni jambo la kawaida mno ndio maana hata simba ambaye ni mbovu huwa anaingia kwa mtazamo wangu kuingia robo ligi ya mabingwa na kuchukua ubingwa wa NBC kigumu ni NBC
Ahahahaha asante sana.
 
Robo ya cl ni jambo la kawaida mno ndio maana hata simba ambaye ni mbovu huwa anaingia kwa mtazamo wangu kuingia robo ligi ya mabingwa na kuchukua ubingwa wa NBC kigumu ni NBC
Kanywe AZUMA haraka nakuja kulipa
 
Kwa sababu ya ufupi wanakuwa siyo tegemeo sana kucheza mipira ya juu, siongelei kupiga. Saidoo anakimbilia kupiga kona na free kicks kwa sababu anajijua hana msaada sana kuicheza kwa kichwa
Uko sahihi,messi ni mrefu sana
 
Mnajitajia tu watu ambao hawaendani na tunachoongelea. Kumbe mnaotea hamjui mnachoongea
Wewe jamaa ni mbishi niliamua kuacha kuquote text zako Kwa sababu watu wote ninaokutajia hao awajafika futi 6 ni WA futi 5 mamelodi wanawachezaji zaidi ya kumi Wana futi 5 no wafupi hata huyo Lucas unayeaema wewe ana futi 6 sio kweli
 

Attachments

  • Screenshot_20231229-082921.jpg
    Screenshot_20231229-082921.jpg
    36.9 KB · Views: 2
Wewe jamaa ni mbishi niliamua kuacha kuquote text zako Kwa sababu watu wote ninaokutajia hao awajafika futi 6 ni WA futi 5 mamelodi wanawachezaji zaidi ya kumi Wana futi 5 no wafupi hata huyo Lucas unayeaema wewe ana futi 6 sio kweli
Sasa wewe kwa akili zako unadhani 5 ft 7 in na 5 ft 11 in ni vimo vinavyolingana?
 
Kama ni jambo jepesi NBC mbona simba anamisimu zaidi ya miwili hajachukua?
Sasa kama jambo jepesi kufika ROBO CL mbona yanga msimu wa 50 hajafika robo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nyie mbona vichwa vigumu,makundi tu imewachukua 25yrs alafu unaibeza robo khaaaa
 
Mods rudisheni kichwa cha habari cha uzi wangu kinachosema OKRA AUGUSTINE AMFUATA MLEVI MWENZAKE MKUDE YANGA
 
Back
Top Bottom