Diego silva
Senior Member
- Nov 22, 2022
- 192
- 314
Timu inatakiwa kuwa na mchanganyiko wa vimo wafupi pia wana nafasi zaoMchezaji mzuri na hakustahili kuachwa na Simba ila pia wachezaji wafupi nao kuna vitu wanashindwa kukupa. Mpira wa kisasa timu zinategemea sana set pieces na wachezaji wafupi wanakuwa hawana faida sana. Matokeo yake wachezaji kama Saidoo ili aonekane ana umuhimu, analazimisha apige kila kona na faulo wakati amedhihirisha siyo mpigaji mzuri wa mipira hiyo ukiacha penati.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app