Okrah Magic you let us down today

Okrah Magic you let us down today

Siyo mwendelezo mlioufanya MAKOLO kwa Galaxy kwa au Keizer Chiefs [emoji848][emoji16]
Ona sasa! yale yale ya kuzungumzia miaka 50 iliyopita

Wakati mifano yangu niliyowapa ni currently kwenye mechi zenu za tatu za mwisho
 
Aisee mbona mgumu hivyo? Nimesema analyses haliwezi kufuatana na events. Sirudii tena kukuelimisha, baki na unachokiamini. Ila acha kuwashambulia wenzako ati wanakosea kuandika kiingereza fasaha. Waelimishe kwa upendo huku ukiwahimiza kukitumia zaidi. Kwaheri.
Narudia mara ya mwisho, jikumbushe tena "tense(s) na grammar".
 
Haya mambo nimwkuja kuyazoea baada ya kuwa mkubwa, tukumbuke hawa jamaa wako sokoni, wanataka kutengeneza nafasi na kufunga wenyewe wapost youtube...

Whatever the case, Yanga hawaamini kama wametoka salama kwa Mkapa licha ya zile kelele zao.
 
8fcd8fe436a34dcca7e9e0ac72c80bb6_312582909_818228546045248_3101653129186593032_n.jpg

Limbukeni mwingine huyu hapa. Anataka sifa binafsi. Ningekuwa na uwezo ningemrudisha Luis
 
Azizi Ki sio kama hapendi kuvua shati

Ila afya na muonekano wa tumbo unaweza kuzua mjadala mwingine

Japo angeweza kuvua shati kama mbinu ya kumtoa mpinzani mchezoni kutokana na kile kinachoonekana
Unamjua? mlisha wahi vuliana nguo?
 
Haya mambo nimwkuja kuyazoea baada ya kuwa mkubwa, tukumbuke hawa jamaa wako sokoni, wanataka kutengeneza nafasi na kufunga wenyewe wapost youtube...

Whatever the case, Yanga hawaamini kama wametoka salama kwa Mkapa licha ya zile kelele zao.
Ndio mvue nguo dakika ya 15?
JamiiForums-1804407804.jpg
 
Hujajibu chochote ndugu. Ni kwamba umekosea. Neno analyses halikupaswa kuwa hivyo. Ulipaswa kuandika analyse kwa kuwa linalofuatia (events) liko ktk plural form. Hili nalo utalipinga. Kubali kujifunza ndugu. Nimeamua kukukosoa kwa kuwa umemshambulia vibaya mwenzako.
Aisee...
Jamani tuachaneni na hizi lugha sasa! Duh hii khatari.
 
Back
Top Bottom