permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Hii comment nimeiangalia, baadae kuangalia aliyeitoa. Ingekuwa imetolewa na mwanamke ingekuwa sawa.Azizi Ki sio kama hapendi kuvua shati
Ila afya na muonekano wa tumbo unaweza kuzua mjadala mwingine
Japo angeweza kuvua shati kama mbinu ya kumtoa mpinzani mchezoni kutokana na kile kinachoonekana