Okrah Magic you let us down today

Okrah Magic you let us down today

Azizi Ki sio kama hapendi kuvua shati

Ila afya na muonekano wa tumbo unaweza kuzua mjadala mwingine

Japo angeweza kuvua shati kama mbinu ya kumtoa mpinzani mchezoni kutokana na kile kinachoonekana
Hii comment nimeiangalia, baadae kuangalia aliyeitoa. Ingekuwa imetolewa na mwanamke ingekuwa sawa.
 
English is for communication, not for fluency..

Naamini Okrah amesoma akaelewa, na anajua sisi lugha yetu ni kiswahili, full stop.
 
Kuifunga yanga siyo lengo kubwa la simba! lengo kubwaq la simba ni kufika mbali kwenye mashindano ya kimataifa na kubeba taji la ligi kuu musimu huu!! Lengo kuu la uto ni kuifunga simba! Kimataifa wanatia huruma.
 
Kweli kabisa,alitaka amu-outshine Phiri na Matokeo yake akaharibu zaidi!
Nadhani kuna-mpango wa hovyo Kati ya Hawa kutoka Ghana ......Simba tusipo ufuta ughana na u-,Zambia hatutatoboa Hawa waghana wako very selfish ....hovyokabisa na ufupi wao

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Kuifunga yanga siyo lengo kubwa la simba! lengo kubwaq la simba ni kufika mbali kwenye mashindano ya kimataifa na kubeba taji la ligi kuu musimu huu!! Lengo kuu la uto ni kuifunga simba! Kimataifa wanatia huruma.
Sasa kwanini hua mnavua blauzi?
 
Okrah has a big opportunity to let us lead the game, unfortunately he decided to be selfish.
I agree with your opinions. He was too selfish indeed. What he needs to understand is that, whoever scores the goal, is just for the victory of the team. So the technical bench should sit down and talk to him wisely.
 
The same should be said to Sakho... would you please have a quick decision when you have the ball..too much dribbling.....(unapenda sifa sana....mwenzio Inonga amejirekebisha....haya ya kiswahili watakusaidia kutafsiri)
 
Back
Top Bottom