Unamuhitaji wewe sio watanzania tunaojali utu na maendeleo ya watuKuna hatua tulifika tukamhitaji mtu wa aina ya Magufuli. Na bado tunamhitaji saana ndani ya miaka mitano ijayo.
Haumhitaji wewe sio watanzania tunaopenda maendeleo.Unamuhitaji wewe sio watanzania tunaojali utu na maendeleo ya watu
Maendeleo ya watanzania aliyoleta huyo mtu wenu?Haumhitaji wewe sio watanzania tunaopenda maendeleo.
Come again.Maendeleo ya watanzania aliyoleta huyo mtu wenu?
Wagombea prominent mwaka huu ni watatu Magufuli, Lissu na Membe, lkn wanaopewa nafasi kubwa zaidi ya kushinda ni wawili Magufuli na Lissu.
Wagombea hawa wawili tayari wameshajipambanua wazi nini vipaumbele vyao 'first priorities'.
Wakati anachukua fomu ya NEC mgombea wa CCM Rais Magufuli alisema tumuongeze miaka 5 ili amalizie miradi yake, madaraja, barabara, meli, reli, mabwawa nk. miradi ambayo anadhani bila yeye hakuna wa kuiendeleza.
Mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu mara nyingi amekuwa akisema akichaguliwa kitu cha kwanza ni kujenga mifumo bora ya utawala wa sheria unaozingatia haki za binadamu na utawala bora.
Kiufupi (summary), nionavyo mimi, uchaguzi wa mwaka huu tunachagua kati ya Utu na Vitu.
Nini kipaumbele chako.
Nimekuuliza swali nijibu hapaCome again.
Sijaelewa swali mkuu...uliza tena.Nimekuuliza swali nijibu hapa
Naona umekimbia maswali. Umefanya jambo jema. Uwe na siku njema!!Sijaelewa swali mkuu...uliza tena.
Angalia Dodoma msafara wa Lissu.
Sijakimbia...Naona umekimbia maswali. Umefanya jambo jema. Uwe na siku njema!!
Ndiyo kusema utawala wa sheria usubiri tumalizie bwawa la stieglas gorge kwanza.TANZANIA BADO INAITAJI MTU WA NAMNA YA MAGUFURI ATA KWA MIAKA KUMI IVI KWA MAANA ANGALAU ILA UYO MWENGINE HAPANA HANA SIFA HATA ...
Haumhitaji wewe sio watanzania tunaopenda maendeleo.
Maendeleo tulianza sisi kabla hata ya ujio wa wakoloni.Maendeleo yalianzishwa na wakoloni, sasa hivi ni muendelezo wa yoyote atakayekuwa madarakani.