Uchaguzi 2020 Oktoba 2020, Tunachagua kati ya Utu wa Mtu na Maendeleo ya Vitu

Maendeleo tulianza sisi kabla hata ya ujio wa wakoloni.

Magufuli alikuwepo? Maana ulivyoongea ni kama maendeleo yameanza na yeye, na akiondoka hayatakuwepo.
 
Magufuli alikuwepo? Maana ulivyoongea ni kama maendeleo yameanza na yeye, na akiondoka hayatakuwepo.
Nimeelewa tatizo... unatumia upande uliyopo kutafsiri nilichokiandika.

Jambo ambalo hatuwezi elewana mkuu. Asante.
 
Nimeelewa tatizo... unatumia upande uliyopo kutafsiri nilichokiandika.

Jambo ambalo hatuwezi elewana mkuu. Asante.

Tumefika huku based na ulichoongea kwenye post namba 7.
 
Unajua kuna namna nyingi ya kuhitaji

Ili uweze kuwa huru unaweza kumhitaji lissu

Ili uweze kusogea mbele kimaendeleo utamwitaji magufuli

Hawa watu wawili sio wanafiki na hawajui kuficha maneno kama ilivyo kwa wanasisa wengine
Mkuu labda ni mwanaccm pekee anayeweza kutokuwa huru na still akaendelea
 
Kauli mbiu ya chadema uhuru, haki na maendeleo ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…