Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,824
Oktoba ni kutoka ndani hakuna kutia hurumaWewe unayeteka watu nakwambia hautachaguliwa kwa matendo Yako haya.
Na hizi damu za watu wasio na hatia wana wa Mungu zitakulilia mpaka mwisho wa uhai wako. Huwezi kuteka watanzania hivi halafu ukalala usingizi.
Mungu huyu wa mbinguni tunamuomba kila siku akutendee adhabu kwa kiwango Cha mateso unayowafanyia watanzania.
Na nyinyi mnaotumwa kuteka. Damu hizi, damu hizi zitawaandama popote.
ukikaidi utapigwa2Muda wa kulia lia umeisha ni wakati wa kufanya maamuzi