Oktoba 7 na maadui 7 wakiwa vitani na Mteule wa Mungu, Israel.

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
MWANZO 32:28
... Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila ISRAEL, maana umeshindana na Mungu na Watu, nawe umeshinda.

Israel yupo vitani na pande Saba hivi Sasa, Magaidi ya Hesbollah, Magaidi ya Hamas, Magaidi ya Houth, Mfadhili wa Magaidi Iran, Wanamgambo wa Iraq, na wengine wawili waliojificha nyuma ya Iran.

The God's vow shall stand.
 
20241005_222127.jpg
 
Kuna kitu wengi wetu ni kama hatukioni au tubakiona ila tunajifanya hatujui.

Israel inapigana, kupiga na kupigwa na mataifa karibia 6+ ukanda huo na mataifa mengine yanajipendekeza kwa siri kwa kusaidia vifaa vya kisasa vya kivita mfano Iran.

Israel ni kataifa kadogo nako kanasaidiwa siyo kwamba pamoja na kujiweza kwake kitaalam basi aachwe tu.

Hata wewe ukiwa na bastora na ukavamiwa na wezi lazima utahitaji msaada siyo kwa sababu una bastora, hivyo hivyo kwa mwenye panga ndani.

Uwezo wa Israel kivita unaweza kuwa tofauti na matarajio ya wengi pale inapopigwa au kupiga.

Ila yangu macho na masikio japo madhara tunayapata huku mchambawima!.
 
Wewe Israel hasaidiwi na mtu yeyote na Wala haitaji msaada lile ni taifa teule hamna wa kulishinda
 
MWANZO 32:28
... Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila ISRAEL, maana umeshindana na Mungu na Watu, nawe umeshinda.

Israel yupo vitani na pande Saba hivi Sasa, Magaidi ya Hesbollah, Magaidi ya Hamas, Magaidi ya Houth, Mfadhili wa Magaidi Iran, Wanamgambo wa Iraq, na wengine wawili waliojificha nyuma ya Iran.

The God's vow shall stand.
Ameshindana na Mungu na watu ?! Mpk hapo tu uteule sio sifa ake
 
Waisrael halisi ni sisi watu weusi hawa wakina Netapaka ni magaidi tu, kama wale wafuasi wa bwana Mudi.

Kwa ufupi waafrica wanaofuata ukristo na uisilamu wote wamepotea, na hii ni laana tumemuacha mungu wetu na kutumikia miungu wa kigeni Jehova na Allah.
 
MWANZO 32:28
... Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila ISRAEL, maana umeshindana na Mungu na Watu, nawe umeshinda.

Israel yupo vitani na pande Saba hivi Sasa, Magaidi ya Hesbollah, Magaidi ya Hamas, Magaidi ya Houth, Mfadhili wa Magaidi Iran, Wanamgambo wa Iraq, na wengine wawili waliojificha nyuma ya Iran.

The God's vow shall stand.
Unajua idadi ya mataifa yaliyopamoja na Israel?
1,Marekani
2, Germany
3, Poland
4,France
5, Denmark
6, Sweden
7.....
Na wengine wengi sana hiyo ni kwa uchache tu
 
Wewe Israel hasaidiwi na mtu yeyote na Wala haitaji msaada lile ni taifa teule hamna wa kulishinda
Ufaransa katangaza kusitisha kupeleka silaha juzi netapaka analialia,,, Israel bila ya msaada wa NATO na marekani ni sawa tu na genge la ubakaji akina nyundo na wenzake..
 
Tulia ngedere wewe muisrael anapigana vita peke yake Hana shida na mbwa yeyote kutoa msaada kwake magaidi lazima wafyekwe god bless Israel
 
Mnavyojua kukalili history za watu wasiowahusu sasa, lkn mkiulizwa habari za babu zenu vizazi 3 nyuma hamjui, zaidi ya kujazwa chuki kuwa babu zenu ni mizimu.

Akili ya muafrika mweusi, ukitoa ngono, chuki na husda kinachobaki ni ujinga/ushirikina aliopewa na mkoloni (dini).

Amkeni enyi vilaza, hao wayahudi wenu wa uongo hawahusiani na bible, na hata hivyo ni upumbavu na laana kwa mtu kufuatilia habari za watu asiohusiana nao, badala ya kuhangaika na wakongo,wasudani, na waafrika wenzenu wanaoishi maisha magumu, ninyi mko bize na hao wazungu ambao hawana muda na ninyi, na hata mkipata shida wao kwao ni furaha.

Amkeni vilaza.
 
Back
Top Bottom