Then read your bible
Wewe Israel hasaidiwi na mtu yeyote na Wala haitaji msaada lile ni taifa teule hamna wa kulishindaKuna kitu wengi wetu ni kama hatukioni au tubakiona ila tunajifanya hatujui.
Israel inapigana, kupiga na kupigwa na mataifa karibia 6+ ukanda huo na mataifa mengine yanajipendekeza kwa siri kwa kusaidia vifaa vya kisasa vya kivita mfano Iran.
Israel ni kataifa kadogo nako kanasaidiwa siyo kwamba pamoja na kujiweza kwake kitaalam basi aachwe tu.
Hata wewe ukiwa na bastora na ukavamiwa na wezi lazima utahitaji msaada siyo kwa sababu una bastora, hivyo hivyo kwa mwenye panga ndani.
Uwezo wa Israel kivita unaweza kuwa tofauti na matarajio ya wengi pale inapopigwa au kupiga.
Ila yangu macho na masikio japo madhara tunayapata huku mchambawima!.
Ameshindana na Mungu na watu ?! Mpk hapo tu uteule sio sifa akeMWANZO 32:28
... Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila ISRAEL, maana umeshindana na Mungu na Watu, nawe umeshinda.
Israel yupo vitani na pande Saba hivi Sasa, Magaidi ya Hesbollah, Magaidi ya Hamas, Magaidi ya Houth, Mfadhili wa Magaidi Iran, Wanamgambo wa Iraq, na wengine wawili waliojificha nyuma ya Iran.
The God's vow shall stand.
Unajua idadi ya mataifa yaliyopamoja na Israel?MWANZO 32:28
... Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila ISRAEL, maana umeshindana na Mungu na Watu, nawe umeshinda.
Israel yupo vitani na pande Saba hivi Sasa, Magaidi ya Hesbollah, Magaidi ya Hamas, Magaidi ya Houth, Mfadhili wa Magaidi Iran, Wanamgambo wa Iraq, na wengine wawili waliojificha nyuma ya Iran.
The God's vow shall stand.
Dah, aisee watu mko vizuri.....yaani Israel hasaidiwi?!!!!!!!!Wewe Israel hasaidiwi na mtu yeyote na Wala haitaji msaada lile ni taifa teule hamna wa kulishinda
Ufaransa katangaza kusitisha kupeleka silaha juzi netapaka analialia,,, Israel bila ya msaada wa NATO na marekani ni sawa tu na genge la ubakaji akina nyundo na wenzake..Wewe Israel hasaidiwi na mtu yeyote na Wala haitaji msaada lile ni taifa teule hamna wa kulishinda
Mungu wa namna hiyo hayupo.Nami huwa nashangaa ni Mungu yupi anayeruhusu kuua watu hivi?
Tulia ngedere wewe muisrael anapigana vita peke yake Hana shida na mbwa yeyote kutoa msaada kwake magaidi lazima wafyekwe god bless IsraelUfaransa katangaza kusitisha kupeleka silaha juzi netapaka analialia,,, Israel bila ya msaada wa NATO na marekani ni sawa tu na genge la ubakaji akina nyundo na wenzake..
Acha kujitangaza humu hatukuchagui