Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #21
Ina maana Kila mtu akiwa na uwezo mkubwa....watacheza wote 22....Uto wenye akili ni wawili tu.
Yaani kasema "ikawa kama..."
Kwa ufupi ni kuwa maelezo yamejaa mashaka na yasiyo na chembe ya hakika. Hana uthibitisho wowote kama kinafanyika ama. Uthibitisho ungekuwa umenyooka. Kwamba 'Try again ndiye anapanga kikosi'.
Alafu aina gani ya mchezaji anasema? Ambaye alishindwa kudhihirisha uwezo wake. Sawa wanapangiwa na Viongozi.
Tulimpeleka kwa mkopo kwingine, mbona alishindwa ku-outshine? Au viongozi wa Simba wanaenda mpaka huko Ihefu?
Tumia huo Ubongo vizuri kuliko kuufanya mzigo juu ya mabega.
Kafunguka Kwasababu alikuwa hapew muda wa kuprove kiwango chake.....Kila siku walicheza wateule[emoji23][emoji23]
Mfano...prof Nabi hakuwa na special first eleven.....Kila mtu alicheza