Okwa: Baada ya Zoran kuondoka mambo yalibadilika

Ina maana Kila mtu akiwa na uwezo mkubwa....watacheza wote 22....

Kafunguka Kwasababu alikuwa hapew muda wa kuprove kiwango chake.....Kila siku walicheza wateule[emoji23][emoji23]
Mfano...prof Nabi hakuwa na special first eleven.....Kila mtu alicheza
 
Kama ni kweli hiyo siyo nzuri kabisa, lakini mchezaji wa kubaniwa atakuwa okwa? Like seriously, okwa amuweke benchi chama?[emoji3][emoji3]
Hakupewa muda wakutosha
 
Hapana mkuu, hata angepewa miaka mitatu bado ingekuwa tatizo tu. bora angekuwa anacheza namba hata pamoja na sakho au kibu au saidi ila kwa chama big NO asingeweza.
Ndo anaenda ulaya sasa
 
Taaluma za watu lazima ziheshimiwe hawa viongozi ndo wawe makocha, madaktari, wahasibu n.k
Sasa kama waliingilia wameambulia nini
Si hawa wametoka mikono mitupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko IHEFU napo kulikuwa na viongozi wanapanga kikosi? Cha msingi sasa hivi adai tu hela yake anayo wadai Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…