Olaf Scholz: Ujerumani itatuma silaha zaidi kwa Israel hivi karibuni

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Ujerumani itasambaza silaha zaidi kwa Israeli hivi karibuni, Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz anasema, baada ya kupungua kwa kiasi kikubwa cha silaha mwaka huu na kusababisha shutuma za upinzani kwamba Berlin ilichelewesha mauzo ya nje kimakusudi.

“Hatujaamua kutosambaza silaha. Tumesambaza silaha na tutasambaza silaha,” Scholz analiambia bunge katika hafla ya kuwakumbuka wahasiriwa wa shambulio la Oktoba 7 la Hamas, akipinga shutuma kutoka kwa kiongozi wa upinzani Friedrich Merz.

Serikali ilikuwa imefanya maamuzi "ambayo pia yatahakikisha kuwa kutakuwa na utoaji zaidi hivi karibuni," chansela anasema.
===================
Germany will supply more weapons to Israel soon, German Chancellor Olaf Scholz says, after a significant drop in deliveries this year prompted opposition accusations that Berlin deliberately delayed the exports.

“We have not decided not to supply weapons. We have supplied weapons and we will supply weapons,” Scholz tells parliament at an event to commemorate the victims of the October 7 Hamas attack, countering an accusation from opposition leader Friedrich Merz.

The government had made decisions “that also ensure that there will be further deliveries soon,” the chancellor says.

https://www.timesofisrael.com/liveb...send-more-weapons-to-israel-soon-scholz-says/
 
Safi sana German
 
Zionist entity bila kubebwa na wakubwa haiwezi kupigana hata na sungusungu wa bongo
Ujerumani inauza na kununua silaha Israel. Wakati Israel inanunua kama Dolphin II class submarines (silaha yenye bei ghali zaidi jeshi la Israel) bado Ujerumani inanunua silaha Israel mfano kama sign yao ya kununua Arrow 3 anti missile systems kwa $3.5 billion.

Ni kuuza na kununua, Israel ina components nyingi na technologies inazouza kwa superpowers.
 
IMG_3077.jpeg
 
Pia Uingereza inanunua kutoka Israel ingawa pia inawauzia. Wanaodhani Israel inapewa tu zile silaha bure wasichokijua ni kwamba hata wanaoiuzia Israel silaha na wao pia wanaitegemea.
 
Serikali za Marekani,Uingereza,Ufaransa na sasa Ujerumuni kushirikiana na Israel mwaka sasa wameshindwa kufanikiwa kuwashinda mgambo wasio na ndege ,vifaru,deraya na silaha za kisasa.
Hii ndio NATO inayotaka kupambana na Urusi,China na Korea 😩
 
Allah muweza wa yote kashindwa kuwasaidia wapalestina kawaingiza mkenge kala kona na kuzama chaka. Allah kiumbe wa ajabu inasikitisha.

Nyau de adriz
 
Pia Uingereza inanunua Israel ingawa pia inauza. Wanaofhani Israel inapewa tu zile silaha bure wasichokijua ni kwamba hata wanaoiuzia Israel silaha na wao pia wanaitegemea.
Wanapewa bure babu,hawanunui, uingereza akinunua za israel ni kama mpango wa agoa wa marekani kununua mazao ya kilimo africa,si kwamba hana bali ni msaada
 
Hiki ndo tunachokijua alafu anatokea mjinga mmoja kutoka nyamisati eti Israel inalindwa na mungu wakati ujerumani,uingereza ,marekani wote wanapeleka silaha na wanajeshi pia. Narudia tena Israel bila marekani na chawa wake hawana tofauti na mbwa mwitu genge la ukabaji la kule msasani
 
Sasa huyo Allah anaelinda waislamu mbona kashindwa kuwalinda wapalestina wasiendelee kufa kama kuku wa kideri?
 
Back
Top Bottom