Nickson francis
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 700
- 1,306
Hiyo Urusi yenyewe bila misaada kutoka marekani na hiyo uingereza isingeishinda ujerumaniUnaijua urusi vizuri!?.. uingereza kapigana na nani, argentina!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo Urusi yenyewe bila misaada kutoka marekani na hiyo uingereza isingeishinda ujerumaniUnaijua urusi vizuri!?.. uingereza kapigana na nani, argentina!?
Wewe inaonekana kafiri yeyote akikusogelea unajilipua kabisa na kufa naye uende kula 72 virgins wa akhera.Hiki ndo tunachokijua alafu anatokea mjinga mmoja kutoka nyamisati eti Israel inalindwa na mungu wakati ujerumani,uingereza ,marekani wote wanapeleka silaha na wanajeshi pia. Narudia tena Israel bila marekani na chawa wake hawana tofauti na mbwa mwitu genge la ukabaji la kule msasani
Hasira ya nini?!😆😆Hiki ndo tunachokijua alafu anatokea mjinga mmoja kutoka nyamisati eti Israel inalindwa na mungu wakati ujerumani,uingereza ,marekani wote wanapeleka silaha na wanajeshi pia. Narudia tena Israel bila marekani na chawa wake hawana tofauti na mbwa mwitu genge la ukabaji la kule msasani
Ungetumia ushauri wako huo hapa ukweli nchi yako ndio ingekuwa na uchumi namba moja Afrika lkn unapoupeleka mbali huko inakuwa "a misplaced resource" na haiwezi kuisaidia nchi yako maskini.Ni wakati wa Ujerumani ku-focus kwenye uchumi wake unaodorora kila siku
Olaf ndio chancellor wa hovyo kutokea Ujerumani ndani ya miongo kadhaa iliyopita
Mpaka sasa kampuni zaidi ya elfu 10 zimetangaza kufirisika.
Mwaka huu inakadiriwa uchumi wa Ujerumani utashuka kwa 0.2%
Manufacturing PMI index imeshuka kwa alimia 40%
Kwa miaka mingi uchumi wa Ujerumani umeshikiliwa na chemicals, automobiles na machinery
Upande wa chemicals imeshajifia autos na machinery napo inakabili ushindani mkali sana
Ukiwa U.S vassal state lazima uyumbe sana. Japan nayo inakabili hali inayofanana na ya Ujerumani kwenye uchumi wake
China's machinery export value iliizidi Ujerumani tangu mwaka 2020
Upande wa automobiles industry Chinese EVs imekuwa tishio kwa German auto industry sio kwa soko la China tu hata soko la dunia
Kwa kifupi Ujerumani inatakiwa isiwe occupied na Marekani kwenye sera zake kwenye masuala ya foreign policy.
Hizi vita na silaha hazina tija yoyote kwenye uchumi wa Ujerumani ni kupelekeshwa tu na Marekani
They will learn the hard way
Hasira ya nini wimbo huoHasira ya nini?!😆😆
Ungetumia ushauri wako huo hapa ukweli nchi yako ndio ingekuwa na uchumi namba moja Afrika lkn unapoupeleka mbali huko inakuwa "a misplaced resource" na haiwezi kuisaidia nchi yako maskini.
Charity begins at home.
Msaada gani?..urusi alianza kumchapa Hitler pale moscow mpaka Berlin, ndiyo USA na UK wakafikaHiyo Urusi yenyewe bila misaada kutoka marekani na hiyo uingereza isingeishinda ujerumani
Kwahyo walifika kufanya ninii?Msaada gani?..urusi alianza kumchapa Hitler pale moscow mpaka Berlin, ndiyo USA na UK wakafika
Baada ya urusi kumaliza kazi na kufika Berlin,wakaona atapora tech nyingi za Nazi,wakaanza kuwahi,hawakutangaza na chochote njiani mpaka Berlin,mwanaume ashamlegeza jini maimunaKwahyo walifika kufanya ninii?
Jamaa una mahaba sana, nenda soma history vizuri namna marekani na uingereza walivoisaidia USSR kumshinda Hitler Kisha urudi hapaBaada ya urusi kumaliza kazi na kufika Berlin,wakaona atapora tech nyingi za Nazi,wakaanza kuwahi,hawakutangaza na chochote njiani mpaka Berlin,mwanaume ashamlegeza jini maimuna
Nilishasoma soma na kutazama WWII, wakati allies wanahangaika na normandy, mrusi alikua anapiga kazi kwelikweli kutokea mashariki wakati allies walikua magharibi,usilete story za allan turing,maana ndiyo msaada pekee wa UK kwa urusi, marekani hakuwa na msaada wowote kwa urusiJamaa una mahaba sana, nenda soma history vizuri namna marekani na uingereza walivoisaidia USSR kumshinda Hitler Kisha urudi hapa