Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Silaha wananunua wewe unasema wanabebwa aisee kweli tatizo la afya ya akili inasmabaa Tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣Zionist entity bila kubebwa na wakubwa haiwezi kupigana hata na sungusungu wa bongo
Hasira za nini Israel ananunua silaha ulitaka asinunue apigane vita na nini na mdomo au maana kobazi ndio mmezoea vita ya kuchambana lakini kidume netanyahu anaua tu magaidi Kwa vitendo mbona kama mmedata kama vipi muambieni Allah awasaidie wavaa kobazi maana wanaangamia tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hiki ndo tunachokijua alafu anatokea mjinga mmoja kutoka nyamisati eti Israel inalindwa na mungu wakati ujerumani,uingereza ,marekani wote wanapeleka silaha na wanajeshi pia. Narudia tena Israel bila marekani na chawa wake hawana tofauti na mbwa mwitu genge la ukabaji la kule msasani
Kuna super power ngapi duniani!?.. super power financially au war wise!?Eti kama agoa huyu jamaa kumbe ni kichwa maji, kama mpaka leo hujui kama Israel inauzia silaha hadi superpower basi kichwa ako haipo sawa
why buying if you can just make it yourself ? Aren't they soooo technologicaly advanced society? On planet earth? (Allegedely).Ujerumani inauza na kununua silaha Israel. Wakati Israel inanunua kama Dolphin II class submarines (silaha yenye bei ghali zaidi jeshi la Israel) bado Ujerumani inanunua silaha Israel mfano kama sign yao ya kununua Arrow 3 anti missile systems kwa $3.5 billion.
Ni kuuza na kununua, Israel ina components nyingi na technologies inazouza kwa superpowers.
Serikali za Marekani,Uingereza,Ufaransa na sasa Ujerumuni kushirikiana na Israel mwaka sasa wameshindwa kufanikiwa kuwashinda mgambo wasio na ndege ,vifaru,deraya na silaha za kisasa.
Hii ndio NATO inayotaka kupambana na Urusi,China na Korea 😩
Mbona umekurupuka kama una kipisi cha ub@@ matrakoni kijana,, kaa kwatulia ikuingie vizuri,,, Israel toka lini akanunua, waliomuweka pale mashariki ya kati kimchongo ndio hao wanaompa kila kitu ,, zakuambiwa changanya na zako kijanaHasira za nini Israel ananunua silaha ulitaka asinunue apigane vita na nini na mdomo au maana kobazi ndio mmezoea vita ya kuchambana lakini kidume netanyahu anaua tu magaidi Kwa vitendo mbona kama mmedata kama vipi muambieni Allah awasaidie wavaa kobazi maana wanaangamia tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Iran hata atume silaha au wanajeshi kule kwa vibaraka wake hawezi shinda vita dhidi IsraelAtume hata na askari wa Germany wote pia Israel hawezi shinda vita vya Gaza au Lebanon
Hilo swali ni la kuuliza, kwani klukitajiwa superpower hapa duniani utawataja kina naniiKuna super power ngapi duniani!?.. super power financially au war wise!?
why buying if you can just make it yourself ? Aren't they soooo technologicaly advanced society? On planet earth? (Allegedely).
Uingereza siyo super power si kiuchumi wala kivita,china super power kiuchumi hatujui kivita,urusi na USA super power kivita na kiuchumiHilo swali ni la kuuliza, kwani klukitajiwa superpower hapa duniani utawataja kina nanii
Uingereza kuhusu vita ni nchi iliyopigana vita vingi na ikashinda kuliko hata hiyo Urusi,Uingereza siyo super power si kiuchumi wala kivita,china super power kiuchumi hatujui kivita,urusi na USA super power kivita na kiuchumi
Unaijua urusi vizuri!?.. uingereza kapigana na nani, argentina!?Uingereza kuhusu vita ni nchi iliyopigana vita vingi na ikashinda kuliko hata hiyo Urusi,
Even if a Israel has an absolute advantage in many weapons compared with other countries, it will benefit from importing the weapons in which it has the higher opportunity cost that is the weapon that uses more resources in production compared with other arms that are produced domestically.why buying if you can just make it yourself ?
Who alleges?Aren't they soooo technologicaly advanced society? On planet earth? (Allegedely).
Ooooh "oppotunity cost " the term that represents "trade offs" lets seeEven if a Israel has an absolute advantage in many weapons compared with other countries, it will benefit from importing the weapons in which it has the higher opportunity cost that is the weapon that uses more resources in production compared with other arms that are produced domestically.
By importing the higher opportunity cost weapons, Israel can allocate more resources to design & manufacture and export the weapon systems that are characterized by lower opportunity cost and gain from this. This is all about the concept of trade, not even a military concept.
Who alleges?
We are speaking of people who developed the iron done technology tell me only one piece of millitary deffence technology that is more sophisticated than that ? And yet they import some even lesser weapons which they can just manufacture them in a heartbeat ?Hizo biashar za silaha za nipe nikupe.. Sometimes it's cheaper to buy something than to produce it yourself, especially when it comes to military equipment.
Mfano. kama mafuta tu unaweza ukachimba nchini kwako ila gharama ya ku refine ni kubwa kuliko ku import
India china wananunua sana crude oil Urusi
in-fact kwenye kuuza refined oil anaengoza ku export refined petroleum product ni US na mmoja ya wateja wake wakubwa ni Saudia ..
Cha ajabu Saudia ni ndie anaeongoza kwa kuuza crude oil nje.. ila ananunua sana refined oil kutoka india na Europe na india yeye na china ni biggest importers wa crude kutoka Urusi ila kamzid Urusi kwa kuuza refined oil nje
kwanza india .. ukanda wake unampa faida ya kupata soko .. matumiz yake ya ndan tu ni nakubwa.. wanashika nafasi ya 3 dunian kwa kuwa na matumiz makubwa ya mafuta...
So utaona swala la kununua nje haimanishi kuwa hawawez kuproduce au wameishiwa.. Ni makakat wa uchumi na biashara