Olaf Scholz: Ujerumani itatuma silaha zaidi kwa Israel hivi karibuni

Wewe inaonekana kafiri yeyote akikusogelea unajilipua kabisa na kufa naye uende kula 72 virgins wa akhera.
 
Hasira ya nini?!πŸ˜†πŸ˜†
 
Ungetumia ushauri wako huo hapa ukweli nchi yako ndio ingekuwa na uchumi namba moja Afrika lkn unapoupeleka mbali huko inakuwa "a misplaced resource" na haiwezi kuisaidia nchi yako maskini.

Charity begins at home.
 
Si tupo jukwaa la kimataifa au?

It's the right forum for what I analyzed
 
Baada ya urusi kumaliza kazi na kufika Berlin,wakaona atapora tech nyingi za Nazi,wakaanza kuwahi,hawakutangaza na chochote njiani mpaka Berlin,mwanaume ashamlegeza jini maimuna
Jamaa una mahaba sana, nenda soma history vizuri namna marekani na uingereza walivoisaidia USSR kumshinda Hitler Kisha urudi hapa
 
Jamaa una mahaba sana, nenda soma history vizuri namna marekani na uingereza walivoisaidia USSR kumshinda Hitler Kisha urudi hapa
Nilishasoma soma na kutazama WWII, wakati allies wanahangaika na normandy, mrusi alikua anapiga kazi kwelikweli kutokea mashariki wakati allies walikua magharibi,usilete story za allan turing,maana ndiyo msaada pekee wa UK kwa urusi, marekani hakuwa na msaada wowote kwa urusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…