Ila TAKE THAT was one of the best, sijui kiliwakuta nini wakavunjika.
Zile staili zilikuwepo tangu miaka ya 50s hukoNa mukitaka kufahamu hasa Michael Jackson alikopi kutoka wapi zile mbwembwe zake kwenye Billie Jean angalia hii ya Bob Farrel wa Boney M miaka kadhaa kabla yake kwenye nyimbo ya Ma Baker:
http://www.youtube.com/watch?v=vTNy8Zfwno4
Ni kweli, muanzilishi hasa alikuwa James Brown (Soul King).Zile staili zilikuwepo tangu miaka ya 50s huko
Niliona clip moja Michael Jackson alisema ameiga moon walk kwa James BrownShalamar is my favorite group.. Jeffrey Daniels, Jody Watley, Howard Hewitt
- Night To Remember
- Make That Move
- There it is
BTW: Jeffrey Daniels is the guy who taught Michael Jackson the moonwalk
Hata James Brown nae kaiga. Staili ya MOONWALK ilikuwepo tangu 1930sNi kweli, muanzilishi hasa alikuwa James Brown (Soul King).
Say it loud…. I’m black and proud!
JB nae kaigaNiliona clip moja Michael Jackson alisema ameiga moon walk kwa James Brown
Kabisa haikuwa perfect iko toka zamani sana ila ilikuwa haiko vizuri, akamuajiri Jeffrey Daniels amfundishe ndio akaja kuionyesha hadharani...iko story kabisa, try to google that. Yeye Jeffrey aliifanya kwenye show moja UK, i think Top of the Pops, ndio akapata umaarufu hapo, na Michael alipoona akamuomba amfunze nadhani kwenye wimbo Billie Jean.Niliona clip moja Michael Jackson alisema ameiga moon walk kwa James Brown
Yeah, thanks man.Hata James Brown nae kaiga. Staili ya MOONWALK ilikuwepo tangu 1930s
MJ na JB wamekopi kisha wameziboreshaYeah, thanks man.
Niliona clip moja Michael Jackson alisema ameiga moon walk kwa James Brown