Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Anabamizwa mzeeKufanya nini 😯
Anabamizwa mzeeKufanya nini 😯
Hii ni ngori!Anabamizwa mzee
Imebamba😅😅 ID hii
ilikuwa ya manoah naona waka i mage.. Nilikutana na mama gfsowin, anazidi pendeza yule mama kuliko mabinti wa 2000Imebamba
Mkuu, unamkumbuka kipindi fulani ulinipa namba yako ya simu? 😂
Kwahiyo Mimi siyo Old SchoolMadame B, Evelyn Salt , Zion Daughter, FirstLady1, Nazjaz, cacico, Asha D Abinallah , Kipaji Halisi. Asprin, Arushaone , Kaka kiiza, kuna jambo letu pande hizi
Mwamba wa lushoto 😅😅
Memba ambae nina bahati ya kuonana nanae ni gfsonwin 😁
gfsonwin yupo Dodoma ingawa anakuja Dar mala moja moja. Mtoi iliuma sana nae aliondoka mapema harakati zikiwa zina muhitaji.Lushotooo mmh, no it doesn't ring a bell, mtu pekee niliyemjua huko ni marehemu Mtoi...
Mwl gfsonwin was so real, sijui yupo wapi yule mwanamama...
gfsonwin yupo Dodoma ingawa anakuja Dar mala moja moja.
Itakuwa wakula teuzi labda na vitengo 😅Naona maticha wote niliowajua JF miaka hiyo wamesogea Dodoma, au wamelamba uteuzi wizarani...
wewe hufuati msingi wa jina la mdinyakobeKivipi? Mbona nakunywa mbege tu kama yeye.
Ulikuwa unanitambia kuwa nikikupigia kupitia namba uliyonipa nisingekupata.Nimesahau mkuu, ila nishashare namba kwa watu wengi, na ninajuana na wengi nje ya hapa...
Wala sifuati.wewe hufuati msingi wa jina la mdinyakobe
Ulikuwa unanitambia kuwa nikikupigia kupitia namba uliyonipa nisingekupata.
Hii muhimu sana