Old school members wa JF, karibuni tukumbukane kwenye uzi huu. Gathering nights @leo tuko hapa and Kebbys Hotel

Lushotooo mmh, no it doesn't ring a bell, mtu pekee niliyemjua huko ni marehemu Mtoi...

Mwl gfsonwin was so real, sijui yupo wapi yule mwanamama...
gfsonwin yupo Dodoma ingawa anakuja Dar mala moja moja. Mtoi iliuma sana nae aliondoka mapema harakati zikiwa zina muhitaji.
 
Hao members uliowataja, wawili nimeonana nao, ni watu poa sema umri umesogea wanapiga sana makeup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…