Nimecheka Sana hii dunia sio fair watamuua kwa shock huyo jamaaBado wanaye tu
Sio TU wanafurahi ila wanasema kuwa wamefanya jukumu la kumtetea maslahi ya watanzania na taifa,sehemu iliyobakia ni ya wenye Dola,na Bado wanafanya linalowezekana ili watimize ndoto yao Kwa taifa na watanzaniaChadema na mbowe wanafurahiii...
Anapikwa ili aziache njia mbaya alizoziamini na kufuatia njia nzuri na iliyokuwa njema Kwa ustawi wa taifa na watu wake,na kuwa mabavu hayana nafasi ila katiba Bora,sheria na uzingativu wa haya yote Kwa ukamilifu.Nimecheka Sana hii dunia sio fair watamuua kwa shock huyo jamaa
zote atashinda na kulipwa marupurupu lukukiiii
Kadri wanavyomuandama na ndivyo wanavyompaisha kwa siku zijazo!
Chadema na mbowe wanafurahiii...
Anaiishi laana ya babayeNdiyo tatizo la kumtegemea binadamu, badala ya kumtegemea Mungu aliyekuumba.
Matokeo yake ndiyo haya, yanayomkumba Ole Sabaya[emoji3064]
Utachizika ndugu. Anashitakiwa na jamhuri sio mtu binafsiWasio na Imani na hizi mahakama ndio wanaofungua kesi kwenye hizi mahakama.....lakini mahakama hiyo ikiwaachia huru wapendwa wao inakuwa huru na haki...... mahakama hiyo ikiwaachia huru wasio wapenda mhimili wa mahakama haupo huru............
Inatakiwa akili ya ziada kuzielewa siasa za Tanzania na waTanzania kwa ujumla.....
Alimdharau RC, bahati mbaya alimfuata mnyachato. Alimdharau RPC sasa ni director general takukuru. Kazi anayoAliowaletea dharau Leo wako ikulu, haya maisha mi najifunza kila iitwyo leo
Masoud ni mshenzi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ww na yule dada kule Facebook wote ni wapumbavu,jinai haifagi mzeeMh.aingilie kati kumnusuru huyu kijana kwenye hili sakata kuna mkono wa mtu hapa sio bure na bila shaka ni yule aliyetoka majuzi.
Karma never forget the addressHasira na chuki hazishindi kesi abadani, muwe na ushahidi usio shaka.
Kuna taarifa kwamba zipo kesi mbili za Ubakaji zinakujaBado wanaye tu
KabisaBora lile jambazi moja lilikufa likazikwa chatto
Babake alikuwa jambazi kama mwana. Ni jadi ya kwao.Anapikwa ili aziache njia mbaya alizoziamini na kufuatia njia nzuri na iliyokuwa njema Kwa ustawi wa taifa na watu wake,na kuwa mabavu hayana nafasi ila katiba Bora,sheria na uzingativu wa haya yote Kwa ukamilifu.
Hamna kitu kama hicho kisheria. Mshtakiwa anaweza kumkataa na kuomba abadilishiwe "HAKIMU au JUDGE" tu, kama ana hoja zenye mashiko ya kutokua na imani nae.Hivi kisheria mwendesha mashtaka anaweza kukataliwa na mtuhumiwa?
AsanteHamna kitu kama hicho kisheria. Mshtakiwa anaweza kumkataa na kuomba abadilishiwe "HAKIMU au JUDGE" tu, kama ana hoja zenye mashiko ya kutokua na imani nae.