Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Lakini atakuwa amejifunza maana amekaa ndani mwaka sasaHizo kesi zote zitashindwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini atakuwa amejifunza maana amekaa ndani mwaka sasaHizo kesi zote zitashindwa.
Salama mpendwa, hujambo?
Labda tu ksbb ya yeye kuwa na connection kibao. Ila huyu JAMBAZI sabaya alikuwa wa kufungwa mvua 30Watafungua kesi za mchongo 100 na atawashinda zote
Huyu Jamaa anakunywa Sana Pombe Ni hatari Elimu yako ya imemfia![]()
Sabaya amkataa mwendesha mashtaka
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, amemkataa Mwendesha Mashtaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru).www.mwananchi.co.tz
UVCCM hawajui kituAlaaa kumbe ukishinda kesi unalipwa marupuru kibao?hakuna kitu kama hicho
Bado analeta ubabe wake?![]()
Sabaya amkataa mwendesha mashtaka
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, amemkataa Mwendesha Mashtaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru).www.mwananchi.co.tz
Kwahiyo walioko jela wote tuwatoe kwakuwa wameshajifunza..!!?Lakini atakuwa amejifunza maana amekaa ndani mwaka sasa
Namaanisha hata akishinda atakuwa amejifunza maana amekaa muda mrefu sn, binafsi natamani anyongwe kabisaKwahiyo walioko jela wote tuwatoe kwakuwa wameshajifunza..!!?
Au ni huyu jambazi tu, ndio kajifunza?
Naunga mkono hojaKaka jambazi-kibaka amkataa muendesha mashtaka.Afungwe bila kusikilizwa paka huyo.
yeye analala magereza hana namnaYeye kama hamtaki mwendesha mashtaka wa Jamhuri, afanye mgomo wa kwenda mahakamani kusikiliza kesi dhidi yake. Akae nyumbani anywe bia halafu alale. Ngoma ipigwe upande mmoja "EX PARTE".
Ndio atajua kwanini dunia ya mviringo!
Hizo Hachomoki ....Na bado kuna kesi mbili za ubakaji ziko mbioni
Hizo mmiliki wa hotel anazo CCTV camera records kabisaHizo Hachomoki ....
Kwani hairuhusiwi kisheria?Bado analeta ubabe wake?