Ole Sabaya afikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na kufunguliwa kesi mpya. Amkataa Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU

Ole Sabaya afikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na kufunguliwa kesi mpya. Amkataa Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU

What Goes Around Comes Around,hakika anavuna alichopanda
 
Huyu bwana mdogo Ole Sabaya ni kesi juu ya kesi sijui mateso hayo yatamwisha lini

Mstaafu mwenzake mh Mbowe anadunda tu mtaani

Hai inatisha kwa kweli
Na huko kudunda kwa Mbowe ndio kunakomdundisha Sabaya pia.
 
Old pirates, yes, they rob I
Sold I to the merchant ships
Minutes after they took I
From the bottomless pit
But my hand was made strong
By the hand of the Almighty
We forward in this generation
Triumphantly.
Bob
 
Yeye alimuona Magufuli ndiye Mungu wake wengine wote ni takataka tu sasa watamnyoosha hadi ajute.
 
Ndiyo tatizo la kumtegemea binadamu, badala ya kumtegemea Mungu aliyekuumba.

Matokeo yake ndiyo haya, yanayomkumba Ole Sabaya🥺
Nikikumbuka alivyokuwa anakuja pale SG Hoteli na mademu 7 namuhurumia sana, sasa hivi atakuwa anapiga punyeto
 
Kadri wanavyomuandama na ndivyo wanavyompaisha kwa siku zijazo!
 
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kufunguliwa mashitaka mengine yanayomkabili, leo Jumatano Juni Mosi, 2022

Sabaya amefikishwa Mahakamani hapo Sa 11:40 Asubuhi.

--UPDATES--
Safi sn afungwe milele
 
Huyu bwana mdogo Ole Sabaya ni kesi juu ya kesi sijui mateso hayo yatamwisha lini

Mstaafu mwenzake mh Mbowe anadunda tu mtaani

Hai inatisha kwa kweli
Hao watu wawili hakuna namna unaweza wafananisha kwani wanatofautiana Pakubwa sana.
 
Wasio na Imani na hizi mahakama ndio wanaofungua kesi kwenye hizi mahakama.....lakini mahakama hiyo ikiwaachia huru wapendwa wao inakuwa huru na haki...... mahakama hiyo ikiwaachia huru wasio wapenda mhimili wa mahakama haupo huru............

Inatakiwa akili ya ziada kuzielewa siasa za Tanzania na waTanzania kwa ujumla.....
 
Back
Top Bottom