Ole Sabaya afikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na kufunguliwa kesi mpya. Amkataa Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kufunguliwa kesi mpya.

Sabaya amefikishwa mahakamani hapo leo Jumatano Juni Mosi saa 11:40 asubuhi.

--UPDATES--

Usisahau kutupa updates mkuu[emoji120]
 
Mh.aingilie kati kumnusuru huyu kijana kwenye hili sakata kuna mkono wa mtu hapa sio bure na bila shaka ni yule aliyetoka majuzi.
 
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kufunguliwa kesi mpya.

Sabaya amefikishwa mahakamani hapo leo Jumatano Juni Mosi saa 11:40 asubuhi.

--UPDATES--
Itaje hiyo kesi mpya.
 
Huyu bwana mdogo Ole Sabaya ni kesi juu ya kesi sijui mateso hayo yatamwisha lini

Mstaafu mwenzake mh Mbowe anadunda tu mtaani

Hai inatisha kwa kweli
 
Back
Top Bottom