Ole Sabaya afikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na kufunguliwa kesi mpya. Amkataa Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU

Ole Sabaya afikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na kufunguliwa kesi mpya. Amkataa Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU

Chadema na mbowe wanafurahiii...
Sio TU wanafurahi ila wanasema kuwa wamefanya jukumu la kumtetea maslahi ya watanzania na taifa,sehemu iliyobakia ni ya wenye Dola,na Bado wanafanya linalowezekana ili watimize ndoto yao Kwa taifa na watanzania
 
Nimecheka Sana hii dunia sio fair watamuua kwa shock huyo jamaa
Anapikwa ili aziache njia mbaya alizoziamini na kufuatia njia nzuri na iliyokuwa njema Kwa ustawi wa taifa na watu wake,na kuwa mabavu hayana nafasi ila katiba Bora,sheria na uzingativu wa haya yote Kwa ukamilifu.
 
Wasio na Imani na hizi mahakama ndio wanaofungua kesi kwenye hizi mahakama.....lakini mahakama hiyo ikiwaachia huru wapendwa wao inakuwa huru na haki...... mahakama hiyo ikiwaachia huru wasio wapenda mhimili wa mahakama haupo huru............

Inatakiwa akili ya ziada kuzielewa siasa za Tanzania na waTanzania kwa ujumla.....
Utachizika ndugu. Anashitakiwa na jamhuri sio mtu binafsi

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Mh.aingilie kati kumnusuru huyu kijana kwenye hili sakata kuna mkono wa mtu hapa sio bure na bila shaka ni yule aliyetoka majuzi.
Ww na yule dada kule Facebook wote ni wapumbavu,jinai haifagi mzee
 
Anapikwa ili aziache njia mbaya alizoziamini na kufuatia njia nzuri na iliyokuwa njema Kwa ustawi wa taifa na watu wake,na kuwa mabavu hayana nafasi ila katiba Bora,sheria na uzingativu wa haya yote Kwa ukamilifu.
Babake alikuwa jambazi kama mwana. Ni jadi ya kwao.

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Huyu kibaka tunae iwe mvua,iwe jua,iwe baridi,iwe joto😁😁😁
 
Back
Top Bottom