Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

Ngoja uchunguzi ukamilike tuone.

Natamani sana wafike kufanya uchunguzi dhidi ya mkurugenzi wa Jiji la Tanga.
Nae amenyanyasa watu sana,amefukuza ambao hawakutaka kupalilia rushwa,ameshirikiana na baadhi ya wakuu wa idara kulinda rushwa na ubadhirifu.
Mkurugenzi huyo ameweza kuwanyamazisha RC na DC. TAKUKURU hawakohoi kwake.
Nae ana kikundi chake cha kutishia watu maisha,kuchafua watu wakivaa uhusika wa ukada
Mkurugenzi huyo bwana Mayeji nikama vile kwa mbali anaendana na Sabaya.
Mh. Rais mteule wako siku huyu nae vyombo vyako vimfuatilie
 
Ni mwendawazimu tu atakayemtetea Sabaya
 
Tangu lini dc sabaya akawa mkusanya kodi ya serikali? Hii tabia yake kila kazi kuitangaza kwa media ni mbinu ya kujitakasa kwa kashfa zake nyingi. Lkn tuache sheria ifate mkondo wake na siyo vinginevyo.
 
Sabaya anapitishwa kwenye mkondo wa kisheria, Sabaya hatotendewa kama alivyowatendea wenzake.
Kama kweli alibaka, aliteka, alitesa, alipora, alidhulumu hiyo ni jinai, na jinai ina hukumu zake.
Vinginevyo kama hakufanya jinai ataibuka mshindi.
Kwahiyo huna sababu ya kulalamika, tulia sheria ichukue mkondo wake.
 
Jamaa alijisahau sana !! wacha aonje joto ya jiwe!! kwa mfano utampigiliaje msumari wa inchi nne mwanadamu nwenzako kwenye ugoko!!
 
alitaka kula mzigo wa nandi bila makubaliano naye.... hahaha ha - kilichosaidia Mwenye hotel akagoma kumruhusu jamaa atinge kwa room!!
 
Sijaona ukiongelea pesa alizo kutwa nazo ndani
 

Mkuu sio kufurahisha umesikia ushahidi wa mabaunsa wake kuhusu ubakaji wa sabaya? mabaunsa wamekiri kabisa kwamba walikuwa wanaagizwa wakawateke mabinti na kuwapeleka kwa sabaya,na ilo bwana swai alishawai kusema sabaya alienda kwenye hotel yake akataka kwenda kumbaka Nandy kilazima.

Huyo Ole Subai anavuna alichopanda...bado bashite tu naye kulipa alichofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…