Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

Hapo vip!

Binafsi nimekuwa mtanzamaji na msomaji sana katika hili swala la Ole Sabaya. Baada ya kuona mashambulizi yanakuwa makubwa..nikaona nilifanyie utafiti na kujiuliza maswali ya msingi...
Kama mliiba wote na Sabaya, mkifikiri mnawaibia wapinzani , tangulia kabisa kwa Hamduni!
 
Wewe ni mmojawapo wa wale mabaunsa wake? naskia baunsa mmoja kabinywa pumbu kaanza kusema yote

Na bado kuna wengi sana walitumika na mwendazake kutesa na kudhulumu raia wenzao... Hata Yule Mnyeti ambaye ni mbunge kwa sasa anatakiwa achunguzwe bila kumsahau Bashite.. Bashite anatakiwa kua Keko sasa hivi ni vile mama kaamua kukaa kimya tu ila kuna siku nae atapandishwa pale kisutu.

Mark this post!
 
Umetumwa?Rais ni taasisi mpaka Rais anafikia kumtumbua na kumuweka ndani ameshajiridhisha beyond reasonable doubt.Video zipo bado ushahidi Upo ni suala la kwenda tu mahakamani.Hata kama kuna mazuri alifanya haimpi kinga ya kutokushtakiwa akitenda jinai.
 
Hata huyo makonda ana kosa gani kama siyo tuhuma za uongo na kutia chumvi. Mama awe macho na tuhuma za chuki kwa vijana wachapa kazi na wazalendo. Vinginevyo atairudidha nchi kuongozwa na mafisadi kama ilivyokutwa na jpm
 
Mama piga kazi tumecheleweshwa mno kama taifa
 
Hata huyo makonda ana kosa gani kama siyo tuhuma za uongo na kutia chumvi. Mama awe macho na tuhuma za chuki kwa vijana wachapa kazi na wazalendo. Vinginevyo atairudidha nchi kuongozwa na mafisadi kama ilivyokutwa na jpm
shit from the shiter
 
Watu wa hovyo watatolewa sana kwenye serikali hii maana hakuna anaye wakumbatia.

Hii ni serikali inayojali utawala wa sheria na kama mlizoeshwa na kudekezwa kutenda maovu basi hesabuni maumivu makali.
 
Jambazi anasafishika, kuendelea kuandika andika ni kuzidi kujipaka mavi!

Ukishafanya uhalifu kwa jamii jua tu tayari unakuwa unanuka ndo maana jamii kubwa inakuwa inakukataa! Ni kwa sababu ya uchafu unakuwa umejipaka!

Huyu hasafishiki hata umpige marashi ya namna gani,
 
Wewe utakuwa mtu wa hovyo sana kama unamsapoti Sabaya jambazi mkubwa! Wacha ashughulikiwe, kipindi chenu nyie wakatili msio na utu kimepita sasa ni wakati wa haki kutawala mtaumia sana.
 
Hata huyo makonda ana kosa gani kama siyo tuhuma za uongo na kutia chumvi. Mama awe macho na tuhuma za chuki kwa vijana wachapa kazi na wazalendo. Vinginevyo atairudidha nchi kuongozwa na mafisadi kama ilivyokutwa na jpm
Kwani huyo Makonda aliondolewa na Mama au kabla? Ninavyokumbuka alikuwa na sakata lile la fedha za TASAF na akaambiwa na Mwendazake azirejeshe haraka. Baadae akawacha kwa ridhaa yake ukuu wa mkoa ili kugombea ubunge ambao hakufanikiwa.

Sasa hapo tuhuma za uongo na kutia chumvi ziko wapi? Au ni lazima ateuliwe tu?
 
Back
Top Bottom