Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

Mkuu wa Wilaya mshahara wake unajulikana, huyu katoa wapi Pesa kununua Harrier, LC V8, ?
 
Sasa Kama takukuru ilikuta hela nyingi ndani jumla na za benki ni bil 3 unadhani anashindwa kununua harrier ,lc na v8 ,hili jamaa lilikuwa jambazi
 
Muda huu wapinga maendeleo na mamwinyi wa kimachame wanashangilia kusikia ole sabaya anahojiwa na takukuru. Katika mashambulizi na kampeni yao isiyokua na mpangilio wamekua wanalia kilio dhidi ya sabaya bila kuweza kueleza kinagaubaka sabaya wanamtuhumu kwa kitu gani. Wanashindwa kwa sababu tuhuma zao dhidi ya sabaya ni kuwazuia kufanya magendo na biashara zisizofaa na dhuluma kwa wenzao wanyonge.

Sabaya alikwepo enzi ya magufuli na jpm alijua utendaji wake kuliweka jimbo la hai kwenye mamlaka maana liligeuka kua eneo la kujidai la upinzani ambapo sera za kizandiki kama vile ubinafsi wa kupindukia na umwamba wa watu matajiri kudhulumu wanyonge ikiwa ni maisha ya kawaida.

Kuenguliwa sabaya mara baada ya kifo cha magufuli ni picha mbaya upande wa serikali ya mama samia. Inaonekana anaanguka kwenye mtego wa adui za uongozi wa magufuli waliyokua wameshikia bango dhidi dc sabaya kwa kupambana na uvunjaji wa sheria na ukwepaji kodi wilaya ya hai.

Swala la sabaya sio dogo litatoa picha kama samia anataka kuipeleka tz njia ipi. Ya kimapinduzi kama kilivyo chama cha mapinduzi au kuwaridhisha bwanyenye wapinga maendeleo.
 
Muda huu wapinga maendeleo na mamwinyi wa kimachame wanashangilia kusikia ole sabaya anahojiwa na takukuru. Katika mashambulizi na kampeni yao isiyokua na mpangilio wamekua wanalia kilio dhidi ya sabaya bila kuweza kueleza kinagaubaka sabaya wanamtuhumu kwa kitu gani. Wanashindwa kwa sababu tuhuma zao dhidi ya sabaya ni kuwazuia kufanya magendo na biashara zisizofaa na dhuluma kwa wenzao wanyonge.
Sabaya alikwepo enzi ya magufuli na jpm alijua utendaji wake kuliweka jimbo la hai kwenye mamlaka maana liligeuka kua eneo la kujidai la upinzani ambapo sera za kizandiki kama vile ubinafsi wa kupindukia na umwamba wa watu matajiri kudhulumu wanyonge ikawa ni maisha ya kawaida.
Kuenguliwa sabaya mara baada ya kifo cha magufuli ni picha mbaya upande wa serikali ya mama samia. Inaonekana anaanguka kwenye mtego wa adui za uongozi wa magufuli waliyokua wameshikia bango dhidi dc sabaya kwa kupambana na uvunjaji wa sheria na ukwepaji kodi hai. Swala la sabaya sio dogo litstoa picha kama samia anataka kuipeleka tz njia ipi. Ya kimapinduzi kama kilivyo chama cha mapinduzi au kuwaridhisha wapinga maendeleo.
Watu jamii ya unayemtetea,na wanaofanana nae,hawana nafasi tena katika enzi hizi,kama ni njaa ndio muda wenu kama sikuzote mlivyofurahia mateso kwa wengine.
 
Kwani wewe ni Bashite?
 
Naonaga watu wanamuweka Chalamila kwenye kundi moja na kina Sabaya, kwanini? Chalamila naonaga ni kama comedian, sijawahi kuona shida ya Chalamila
chalamila ni comedian hili nasema mara nyingi hana madhara yoyote zaidi ya kuchaa wanafunzi viboko na hakurudia tena.
 
Mwambie Bashite ajiandae.
IMG-20210531-WA0037.jpg
 
Muda huu wapinga maendeleo na mamwinyi wa kimachame wanashangilia kusikia ole sabaya anahojiwa na takukuru. Katika mashambulizi na kampeni yao isiyokua na mpangilio wamekua wanalia kilio dhidi ya sabaya bila kuweza kueleza kinagaubaka sabaya wanamtuhumu kwa kitu gani. Wanashindwa kwa sababu tuhuma zao dhidi ya sabaya ni kuwazuia kufanya magendo na biashara zisizofaa na dhuluma kwa wenzao wanyonge.
Sabaya alikwepo enzi ya magufuli na jpm alijua utendaji wake kuliweka jimbo la hai kwenye mamlaka maana liligeuka kua eneo la kujidai la upinzani ambapo sera za kizandiki kama vile ubinafsi wa kupindukia na umwamba wa watu matajiri kudhulumu wanyonge ikiwa ni maisha ya kawaida.
Kuenguliwa sabaya mara baada ya kifo cha magufuli ni picha mbaya upande wa serikali ya mama samia. Inaonekana anaanguka kwenye mtego wa adui za uongozi wa magufuli waliyokua wameshikia bango dhidi dc sabaya kwa kupambana na uvunjaji wa sheria na ukwepaji kodi wilaya ya hai. Swala la sabaya sio dogo litatoa picha kama samia anataka kuipeleka tz njia ipi. Ya kimapinduzi kama kilivyo chama cha mapinduzi au kuwaridhisha bwanyenye wapinga maendeleo.
Wakitoka kwa jambazi Sabaya wanamuendea Bashite
 
Watu jamii ya unayemtetea,na wanaofanana nae,hawana nafasi tena katika enzi hizi,kama ni njaa ndio muda wenu kama sikuzote mlivyofurahia mateso kwa wengine.
Ubarikiwe sana kiongozi
 
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU), Kamishna wa Polisi Salum Hamduni AMETHIBITISHA kuwa wanamshikilia aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kwa maojiano tangu May 25 mwaka huu. Kamishna Hamduni amesema Sabaya hakukamatiwa Arusha kama vyombo mbalimbali vya habari vilivyoripoti, bali alikamatwa jijini Dar akiwa na watu wawili waliotambuliwa kuwa ni "mabaunsa" wake na wote wapo mahabusu kwa mahojiano. Amesema wanaendelea kuhojiwa na wakipatikana na kesi ya kujibu watafikishwa mahakamani.!
Ikithibitika Hana Kesi Ya kujibu atapata fidia ya Usumbufu au?
 
Back
Top Bottom