Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

Screenshot_20210531-213823.png
 
Ushahidi wa kumtia Sabaya hatiani upo wa kila aina, kuanzia audio, mpaka video CCTV Camera, sijui hao TAKUKURU wanatafuta nini kisichoonekana.
pengine huo ushahidi tunao ona ushahidi sio ushahidi wa mahakamani uno faha... bora wamuachie huru
 
Kwahiyo 2045 atakayechaguliwa naye akiwa genge la akina Sabaya anaweka ndani akina Hamduna.
Tunaenda wapi?
Si " Imeandikwa"
Kisasi ni chake Bwana atalipa?
aiseeeee
 
Nyie mabaunsa wa sabaya mbona mnaharaka hivyo hata mwaka tu ajamaliza ndani mshaanza kelele
 
Kamanda Hamduni leo ni siku ya sita(6) toka uthibitishe kumkamata Olesabya na wenzie kwa tuhuma zisizo julikana maana hazijawekwa wazi kabisa...... kwa tuhuma ambazo zimekuwa zikitolewa na watu mbali mbali dhidi ya Olesabaya ... tulitegemea hadi sasa ameshafikishwa mahakamani lakini si kukaa mahabusu...

Kwakuwa zimeshapita siku zaidi ya tatu ni wazi hakuna mlichonacho dhidi ya Sabaya na pengine watu wameshindwa kutoa ushahidi wa kilicho kuwa kinaongelewa na watu...... ni vyema akaachiwa huru msiogope kusema maana Mama kasema wazi msiogope kuachana na case ambazo hazina ushahidi.

Takukuru mnavyomchelewesha Olesabya kumfikisha mahakamani mnategeneza mianya ya kumbabikia case maana kwa tuhuma zilizokuwa zinatolewa dhidi ya Sabaya inakuwaje hadi sasa hamjamfikisha mahakamani na watu wanasema wana ushahidi ?

Mnakwama wapi? basi muachieni huru.

Tamko la mkurugenzi wa Takukuru

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU), Kamishna wa Polisi Salum Hamduni AMETHIBITISHA kuwa wanamshikilia aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kwa maojiano tangu May 25 mwaka huu. Kamishna Hamduni amesema Sabaya hakukamatiwa Arusha kama vyombo mbalimbali vya habari vilivyoripoti, bali alikamatwa jijini Dar akiwa na watu wawili waliotambuliwa kuwa ni "mabaunsa" wake na wote wapo mahabusu kwa mahojiano. Amesema wanaendelea kuhojiwa na wakipatikana na kesi ya kujibu watafikishwa mahakamani.!
Muombe DPP aidhinishe apelekwe mahakamani. Hujui takukuru hawapeleki mtuhumiwa mahakamani mpaka wapate idhini ya DPP.
 
Kamanda Hamduni leo ni siku ya sita(6) toka uthibitishe kumkamata Olesabya na wenzie kwa tuhuma zisizo julikana maana hazijawekwa wazi kabisa. Kwa tuhuma ambazo zimekuwa zikitolewa na watu mbali mbali dhidi ya Ole Sabaya tulitegemea hadi sasa ameshafikishwa mahakamani lakini si kukaa mahabusu...

Kwakuwa zimeshapita siku zaidi ya tatu ni wazi hakuna mlichonacho dhidi ya Sabaya na pengine watu wameshindwa kutoa ushahidi wa kilicho kuwa kinaongelewa na watu. Ni vyema akaachiwa huru msiogope kusema maana Mama kasema wazi msiogope kuachana na case ambazo hazina ushahidi.

Takukuru mnavyomchelewesha Ole Sabya kumfikisha mahakamani mnategeneza mianya ya kumbabikia case maana kwa tuhuma zilizokuwa zinatolewa dhidi ya Sabaya inakuwaje hadi sasa hamjamfikisha mahakamani na watu wanasema wana ushahidi?

Mnakwama wapi? basi muachieni huru.

Tamko la mkurugenzi wa Takukuru

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU), Kamishna wa Polisi Salum Hamduni AMETHIBITISHA kuwa wanamshikilia aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kwa maojiano tangu May 25 mwaka huu. Kamishna Hamduni amesema Sabaya hakukamatiwa Arusha kama vyombo mbalimbali vya habari vilivyoripoti, bali alikamatwa jijini Dar akiwa na watu wawili waliotambuliwa kuwa ni "mabaunsa" wake na wote wapo mahabusu kwa mahojiano. Amesema wanaendelea kuhojiwa na wakipatikana na kesi ya kujibu watafikishwa mahakamani!

Kwa ninavyomfaham Hamduni, hapindishi Haki
 
Taratibu ndugu,wacha atulie ndani aone utamu wa kukaa lock up,iwe fundisho kwa viongozi wengine wanaopenda kuwaweka raia lock up kwa sababu zisizo za lazima.
Wapinzani waliwekwa sana ndani bila sababu za msingi,kipande kimegeuka.
Undercover kwani kesi ya forgery alimalizaje? pia hiyo ifufuliwe
 
Wewe ni make au mchepuko wake? Yaani siku chache tu hizo unahemkwa na genye! Akihukumiwa miaka utatubakia vivulana vya shule!
Unafikiri kazi ya uchunguzi ni ya kuendea mbio Kama kula ugali na mlenda? Kwa taarifa yako uchunguzi wa bwanako huyo waweza kufanywa mwaka mzima na huna kitu utawaambia takukuru mpya wakuelewe!
Hivi kumbe mtoa mada ndo mke wa Sabaya!! Shabash
 
Niliunganishwa tu kama shahidi .....mchana fresh tu unakaa pale reception unavwatch tv kunabwatu wanahojiwa hata mwezi mzima....aibu wakichukua cm yako duuuuu wana retreave sms zako zoooote miaka 10 wanasoma kila kitu hakuna siri.....aseeee
Sasa huoni hapo bado huna uhuru wako? Au kisa uliona AC mzee baba?
 
Rais wa sasa ni jinsia ya kike. Kama hizi tuhuma za ubakaji ni za kweli kuhusu wanawake basi Sabaya na marafiki zake are in for a big trouble.

Rais ndio mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama, anachokijua ni cha uhakika zaidi.
 
Rais wa sasa ni jinsia ya kike. Kama hizi tuhuma za ubakaji ni za kweli kuhusu wanawake basi Sabaya na marafiki zake are in for a big trouble.

Rais ndio mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama, anachokijua ni cha uhakika zaidi.
Ishakula kwake muda mrefu Sana tulie muone mchezo

Huyu dogo ni mpumbavu Sana
Sheria itachukua mkondo wake
 
Back
Top Bottom