Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

Ka Nandy kangebakwa[emoji848][emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kama siyo nyerere kumyonga mhehe, mpaka leo cheo cha u RC kingekua takakata
 
na
nani kamtoa kafara.
 
 
samahani chief, How old are you?
 
bounsa mwingine huyu jamani amesahaulka
 
Mleta hoja wewe ni mpuuzi na mpumbavu wa kupindukia!
Kwa sasa acha uchunguzi uendelee kwa unyama, ubazazi na ushetani wa sabaya!
Naamini wewe ni mtu wake wa karibu ndio maana umeandika ujinga huu.
Sabaya ana laana ambayo nahisi ni ya kurithi, huenda kwao wana asili ya ushetani!
 
Ni muarusha mwenzako? Au mnatokea wote ngaramtoni? Zile tuhuma zilitolewa na Cuthbert Swai mbele ya waziri mkuu kuwa anataka rushwa ya million 10 anazushiwa? Ule uzushi aliowaletea wamiliki wa mabasi ya LIM connection na Machame Bus kuwa wameng'oa reli ili kuihujumu TRC ili mabasi yao yapate abiria, tuhuma ambazo rpc Hamduni alizikanusha baada ya kwenda kukagua hilo eneo alizushiwa? Shutuma za kwenda Arusha, eneo ambalo sio lake kikazi na kuvamia duka, na kupiga wafanyakazi, mmoja mpaka akanya mavi alizushiwa? Na video zipo.. unatetea uovu ili iweje? Umelipwa au ni mambo ya ukabila. Waarusha mnaojifanya wamasai. Kwanza badili hilo jina, huwezi kuwa tajiri wa Tanzanite wewe. Tajiri wa tanzanite ni kina Sunda..wewe ni pimbi tu
 
 
Lione kwanza!
 
hata iweje kudai kodi sijui nini ....sio tiketi ya kutesa wananchi .....bora nchi ibaki hivi lkn wananchi wana furaha...sikubaliani na ofisi za umma kufuga watesaji/na majambazi walojificha kwenye kofia ya uzalendo
 
Mama kaagiza sheria ifate mkondo wake, Ni jipi jema zaidi ya hilo?
Unataka asafishwe kienyeji?
Unaogopa akichunguzwa atanyongwa au?
Hakika sheria itampa haki yake. Relax kijana.
 
Mchambuzi ebu tuambie ishu ya kutumia gari yenye nembo ya UN akiwa na mabaunsa kwenda hotelini,na kuonekana kwenye ccctv ya hotel zote usiku mnene.
Vipi unasemaje hapo,
 
Maadamu you hai ipo siku atalipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…