Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

Habari njema sana,angalao inaonyesha kuwa Serikali ipo, Awamu ya Tano ilikuwa inaendeshwa kiInterahamwe.
ufdup.png
 
Hili jambazi inastahili liuawe, halafu ije taarifa " Liliuawa wakati likijaribu kuwatoroka polisi"
Kila binadamu ana haki ya kuishi,jukumu la polisi Ni kuhakikisha inawatia mikononi wahalifu,Kisha wafikishwe mahakamani .
 
Kila binadamu ana haki ya kuishi,jukumu la polisi Ni kuhakikisha inawatia mikononi wahalifu,Kisha wafikishwe mahakamani .
Tunaendeleza alipoishia meko...aliteka, alitesa, aliua. Meko ni role model wangu, nimerithi damu yake ya kigaidi.
NASEMA HIVI SABAYA AUAWE NA TAARIFA ISOMEKE "JAMBAZI HILO SABAYA LILIPIGWA RISASI LILIPOJARIBU KUWATOROKA POLISI KIPINDI LIKIWA LINAPELEKWA KUONESHA WALIPO MAJAMBAZI WENZAKE NA WANAPOFICHA SILAHA"
 
Sasahivi tuna tumia waganga wa kienyeji kule Sumbawanga hawana haraka wanakunyoosha vizuri sn
Hiyo nayo imekaa poa aisee!Kwamba unamdeal mtu kimya kimya bila kuhusisha physical battle (ambayo unaweza kumdhuru mtu halafu ukaishia kufia jela Isanga).
 
Back
Top Bottom