Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

Chalamila mbona mtu poa sana mkuu? Labda ule ucomedy wake tu, ila mengine naona yupo poa, and kipindi cha Magu wateule wote walichizika, si ulimuona Kabudi akinywa zile takataka za Covid from Madagascar?
Ha ha ha
 
Kiini macho tu kutuzuga wananchi....

1) Taarifa ya fedha zilizokwapuliwa BOT mwezi March 2021 i wapi?
2) DG wa TPA kafanywa nini hadi leo maana nasikia huko mtaani anatamba kweli kweli kuwa hakuna mtu wa kumfanya kitu nchi hii
3) Haya, sasa tuna hili changa la moto la Sabaya!
Kamanda umejiongeza
 
Jamani tumwache Mama yetu.....haya masuala ni kizungumkuti....
Kiini macho tu kutuzuga wananchi....

1) Taarifa ya fedha zilizokwapuliwa BOT mwezi March 2021 i wapi?
2) DG wa TPA kafanywa nini hadi leo maana nasikia huko mtaani anatamba kweli kweli kuwa hakuna mtu wa kumfanya kitu nchi hii
3) Haya, sasa tuna hili changa la moto la Sabaya!
 
Bado makonda anajifanya anamkana msendazake anapinga mambo mchakato wa Chato leo jamani nyie unafiki huu
 
Na ninasikitika kwamba Said Mwamwindi hajapata mrithi wa calibre yake hadi leo.

Sijui ni kwanini Said uliondoka na ule ujasiri wako? Maana wangekuwepo watu 10 tu wa aina yako pale Hai,na wakaamua kumvaa huyo 'Saa-mbaya' kwa pamoja, angelikuwa ameshakuwa mwenyeji wa Jiwe kule Jehanamu kitambo tu.
Mwamwindi aliyetembeza mapanga kwa rc...?
 
Back
Top Bottom